Tuesday, May 3, 2016

USIKU WA NYAMA CHOMA DICOTA 2016 DALLAS, TEXAS

Wadau mbalimbali waliohudhuria kongamano la DICOTA 2016 wakiwa kwenye nyama choma siku ya Jumamosi April 30, 2016 mara tu baada ya mechi ya Simba na Yanga kumalizika. Picha na Vijimambo/Kwanza production.
Washiriki wa DICOTA 2016 wakiwa kwenye nyama choma. 

Washiriki wa kongamano la DICOTA 2016 wakiwa kwenye nyama choma iliyokua sehemu ya kongamano hilo lililofanyika siku ya Jumamosi April 30, 2016 Dallas, Texas nchini Marekani.
Wadau wakiwa kwenye nyama choma.
Washiriki mbalimbali kutoka kila pembe ya Dunia waliohudhuria kongamano la DICOTA 2016 wakiwa kwenye nyama choma ambayo ilikua sehemu ya kongamano hilo na hii ilikua baada ya mpambano wa Simba na Yanga.


No comments: