Saturday, May 7, 2016

SIMU TV: Habari kutoka vituo vya televisheni

SIMU.TV: Mlimani TV: Pamoja na wauguzi kufanya kazi katika mazingira magumu, wakunga nchini wametakiwa kufanya kazi kwa uzalendo. https://youtu.be/AUU8UB-hMb4
 SIMU.TV: Elimu ndogo juu ya uelewa wa watu wenye ulemavu wa ngozi umechangia kuendelea kwa vitendo vya kikatili na mauaji yanayosababishwa na imani potofu za kishirikina.  https://youtu.be/TcZ2JwsCLY0
 SIMU.TV: Mjumbe wa kamati kuu ya CCM balozi Seif Ali Idd awatahadharisha wanachama wa CCM wanaoendeleza tamaa ya ubinafsi. https://youtu.be/jl_vRI0ImTk
 SIMU.TV: Rais Magufuli atunuku kamisheni kwa maafisa wanafunzi 586 katika chuo cha mafunzo ya kijeshi Monduli Arusha;  https://youtu.be/9RkAAOeZyXs
 SIMU.TV: Mamlaka ya kuzuia na kupambana na rushwa imetakiwa kuondoa muhali katika kuhakikisha utekelezaji sahihi wa majukumu yao.https://youtu.be/ayNExAyLqW0
 SIMU.TV: TAKUKURU yafanya uchunguzi dhidi ya tuhuma zinazowahusu wafanyabiashara wa sukari na kubaini tani 49200 zilizokuwa zimefichwa;https://youtu.be/KXNonf2Bugs
 SIMU.TV: Rais Magufuli atunuku kamisheni kwa maafisa wanafunzi 586 katika chuo cha mafunzo ya kijeshi Monduli Arusha; https://youtu.be/c-2TqC-Godk
 SIMU.TV: Polisi Mwanza waua watuhumiwa wawili wa ujambazi kati ya wanne katika majibizano ya risasi eneo la Kigala Ilemela; https://youtu.be/OOzMBmG7P-g
 SIMU.TV: Wananchi wa Kiru Babati walazimika kuvuka mto Heri wakiwa wamebebwa katika migogongo ya vijana baada ya kukosa daraja katika mto huo;https://youtu.be/C1Dnhb_on44
 SIMU.TV: Wakazi wa Yombo Kilakala Temeke  walalamikia uchakavu wa daraja la Tingetinge ambalo wanalitumia kwa matumizi ya kila siku;https://youtu.be/Z5pIfQMqvBY
 SIMU.TV: Serikali kujenga wodi mpya ya watoto wenye ugonjwa wa moyo kufuatia ongezeko la watoto wenye ugonjwa wa moyo; https://youtu.be/Qe2PIKxTAmE
 SIMU.TV: Mhe.Angelina Mabula amewataka maafisa ardhi na mipango miji kuwaelimisha wananchi juu ya mipango yao ya sasa nay a baadaye ili kuepusha ubomoaji wa nyumba; https://youtu.be/SEJLpQh392A
 SIMU.TV: Afisa elimu Rukwa aswekwa rumande baada ya kumvamia mwalimu aliyekuwa akifundisha na kumpiga makofi; https://youtu.be/DPKYlybZPYU
 SIMU.TV: Kuongezeka kwa shughuli za kilimo cha kuhamahama kwachangia kwa kiasi kikubwa uharibifu wa misiti Liwale lindi; https://youtu.be/in6sq-hqvnk
 SIMU.TV: Yanga yaipiga Esperance 2-0 na kujiwekea mazingira mazuri ya kuendelea na michuano ya kombe la shiriko barani Afrika; https://youtu.be/0n6oR9IjFDI
 SIMU.TV: Timu ya Stand United yaitandika Coastal Union bao 2-1 katika mechi iliyochezwa leo ya kuwania ubingwa ligi kuu Tanzania bara; https://youtu.be/IpKD2XFCoCg
 SIMU.TV: Katibu mkuu wa baraza la michezo BMT akutana na viongozi wa vyama vya michezo kuzungumzia mustakabali wa michezo nchini; https://youtu.be/0n6oR9IjFDI  
 SIMU.TV: Wasiopenda michezo waaswa kuunda vikundi vya mazoezi ili kuongeza hamasa ya kufanya mazoezi miongoni mwa wananchi; https://youtu.be/cv3kop-_lYI
 SIMU.TV: Rais  Magufuli amesema  vyombo vya dola  vimekamata  sukari tani elfu tano iliyofichwa na mfanya biashara kutoka  Tabata na Arusha: https://youtu.be/s-W15_xOyGE
 SIMU.TV: Rais Magufuli amerejea kauli yake  kuwa serikali yake hitawavumilia watumishi  ambao wamekuwa wakijihusisha na rushwa na ufisadi:https://youtu.be/k0Cwrok2c0w
 SIMU.TV: Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama  amewatunukia cheo cha luteni USU  zaidi ya maafisa mia tano wa JWTZ mkoani Arusha:https://youtu.be/5swuXlHn47k
 SIMU.TV: Jeshi la polisi wilayani Kyela  linamshikilia mganga wa kienyeji kwa tuhuma za kusababisha elemavu wa macho kwa kijana Thomas: https://youtu.be/cHFyAIacirY
 SIMU.TV: Serikali imetoa siku kumi na nne kwa vyama vya michezo nchini kufanya uchaguzi wa viongozi wao la sivyo watafungiwa usajili wake:https://youtu.be/EK7c7EmXj9U
 SIMU.TV: Manchester United imejiweka katika mazingira mazuri baada ya kuichapa timu ya Norwich city goli moja kwa sifuri: https://youtu.be/W609ENwFAK8

No comments: