Wednesday, May 25, 2016

SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI

SIMU.TV: Watu wawili mke na mume wameuawa kikatili nyumbani kwao kwa kukatwa na mapanga wakiwa wamelala usiku huko  wilayani Butiama mkoani Mara;https://youtu.be/CKWHsi2943g

SIMU.TV: Mkuu wa mkoa wa Mwanza John Mongella amekemea tabia ya wanunuzi na wakulima wa pamba wasiowaaminifu wanaoweka maji au mchanga ili kuongeza uzito wa pamba yao; https://youtu.be/PwnGooYTCrE

SIMU.TV: Rais Dr John Magufuli amemteua waziri mkuu mstaafu wa awamu ya nne Mh Mizengo Pinda kuwa mkuu wa chuo kikuu huria nchini; https://youtu.be/0IM5NJ_9oc8

SIMU.TV: Mkurugenzi mkuu wa shirika la utangazaji TBC Dr Ayoub Rioba amesema moja kati ya malengo yake makubwa ni kuhakikisha wafanyakazi wa shirika hilo wanapatiwa mafunzo ya kisasa ili kuwezesha utendaji kazi uliotukuka; https://youtu.be/RruWVwh6QPI

SIMU.TV: Halmashauri ya manispaa ya Lindi imepata faida ya zaidi ya Bilioni 2 katika gawio la uuzaji wa viwanja katika manispaa hiyo; https://youtu.be/a1Usgi9tcu4

SIMU.TV: Mamlaka ya mapato nchini TRA yakusanya bilioni 3 na mali yenye thamani ya shilingi bilioni 10 kwa wafanyabiashara waliopitisha makontena yao bila kulipa kodi katika bandari kavu ya Azam; https://youtu.be/xC1k1g0TEVU

SIMU.TV: Serikali imebadilisha sheria katika benki ya posta nchini TPB ili kuwezesha kuuza hisa zake katika soko la hisa dare s salaam na kujitanua kibiashara;https://youtu.be/3g2VK4lcROE

SIMU.TV: Kampuni ya ATM ya Umoja Switch imeingia makubaliano na Union Pay ili kuwezesha wateja wa benki hizo kutoa fedha popote pale nje  na ndani ya nchi;https://youtu.be/n7EImpeVeD4

SIMU.TV: Chuo kikuu cha Dar es salaam kimefanya maonyesho ya tafiti mbalimbali na kubaini miradi  mizuri inayoweza kuanzishwa nchini na kuongeza ajira;https://youtu.be/nkbLEuXSTFs

SIMU.TV: Kiwanda cha kutengeneza vyandarua pamoja na bidhaa zingine cha A-Z kimelazimika kupunguza uzalishaji baada ya kukosa soko kwa bidhaa nyingi zitokazo nje ya nchi; https://youtu.be/rDwE5m9ZZ6w

SIMU.TV: Mabingwa wa soka Tanzania bara timu ya Yanga wamefanikiwa kunyakua ubingwa wake wa pili kwa msimu huu baada ya kuifunga timu ya Azam kwa idadi ya mabao 3-1 katika mchezo wa fainali ya kombe la shirikisho; https://youtu.be/aI1rCjj8QGs

SIMU.TV: Nahodha wa zamani wa timu ya taifa taifa stars Nadir Haroub Cannavaro amesema bado hajafanya maamuzi ya kurejea katika timu ya taifa baada ya mapema mwaka huu kutangaza kustaafu kuichezea timu hiyo; https://youtu.be/NVsuAfTYFAU

SIMU.TV: Timu ya taifa ya vijana Serengeti boys imeambulia nafasi ya tatu katika mashindano maalumu ya vijana yalifanyika nchini India baada ya kufanikiwa kuifunga timu ya vijana ya Malaysia; https://youtu.be/i6KFfhaGdHM

SIMU.TV: Muigizaji wa filamu nchini na Miss wa zamani Wema Sepetu amesema hajaacha kufanya filamu isipokuwa ameamua kupumzika kwa muda akifanya mambo mengine;https://youtu.be/Xvnz4jMuVMI

SIMU.TV: Waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi leo amevunja bodi ya udahili wa vyuo vikuu nchini TCU kutokana na kudahili wanafunzi wasio na sifa ya kujiunga na vyuo vikuu.https://youtu.be/QwSOt6CU6Jw
SIMU.TV: Mawaziri wakuu wa nchi za Afrika wametaka kuwepo na hatua za pamoja katika kupambana na athari zinazotokana na mbadiliko ya tabia ya nchi.https://youtu.be/lhIX9Vh67zY

SIMU.TV: Elimu ya ujasiariamali kwa vijana ni njia mojawapo ya kutatua changamoto ya ukosefu wa ajira kwa kufanya vijana kujiari wenyewe na kubuni miradi ya kujiendeleza kimaisha. https://youtu.be/2QfHNBX863A

SIMU.TV: Waziri mkuu mstaafu wa Tanzania Mizengo Pinda ameteuliwa kuwa mkuu wa chuo kikuu huria nchini ambapo anachukua nafasi ilioacha wazi na Dr Rose Asha Migiro.https://youtu.be/zkmmFhnPpqw

SIMU.TV: Manispaa ya Temeke imejizatiti kuhakikisha inaweka hali ya usafi katika mazingira ya manispaa hiyo licha ya kukabiliwa na changamoto ya vifaa.https://youtu.be/8-eKv8Twwiw

SIMU.TV: Serikali imeshauriwa kurekebisha utaratibu wa kutoa hati za kutolipa kodi kwa bidhaa zinazolishwa nchini pale zinapouzwa kwa nchi za Afrika mashariki.https://youtu.be/iOUUX35sIko

SIMU.TV: Mkazi mmoja wa wilayani Mbarali anaomba msaada wa fedha ili akapatiwe matibabu ya majereha aliyoyapata kutokana na ajali ya kuungua moto kwenye uso.https://youtu.be/3nFiAOZBlGQ

SIMU.TV: Wizara ya viwanda na biashara inatarajia kutoa uamuzi kuhusu viwanda vyote ambavyo  vimebinafsishwa lakini haviendelezwi . https://youtu.be/NAKLbaQ79LA

SIMU.TV: Waziri mkuu Kasim Majaliwa maesema hadi sasa ameshapokea maombi zaidi ya hamsini yanayotaka kuweza kwenye umeme nchini. https://youtu.be/uSAD4_rXLeQ

SIMU.TV: Wakulima wa alizeti kutoka kanda ya ziwa na kanda ya kati wamehimizwa kulima zao hilo kwa wingi na kukiuzia kiwanda cha mafuta ya kula kilichopo Shinyanga kinachokabiliwa na uhaba wa malighafi hiyo. https://youtu.be/T2-6iQzzD40

SIMU.TV: Timu ya Yanga imefanikiwa kutwaa kombe la FA kwa kuifunga timu ya Azam fc mabao matatu kwa moja ambapo Yanga ilionekana kung’ara katika mchezo huo.https://youtu.be/Sl69UmqHRqM

SIMU.TV: Timu zinazoshiriki michuano ya kusaka bingwa wa mikoa nchini katika kituo cha Singida zimetakiwa kuondokana  na dhana kuwa waamuzi wa michezo hiyo wanapanga matokeo. https://youtu.be/FxCpI0G05Fo

SIMU.TV: Kituo cha kukuza na kuendeleza vipaji vya michezo cha Alliance sports academy kilichopo mkoani Mwanza kinawakarabisha vijana kujiunga katika mchakato wa kutafuta vijana watakaounda timu itakayo shiriki ligi daraja la kwanza. https://youtu.be/leE2lz-MDGY

SIMU.TV: Taasisi ya elimu ya Al Hilal inatarajiwa kuzindua maonesho ya utamaduni ambapo wanafunzi wanatarajiwa kuonesha tamaduni tofauti tofauti.https://youtu.be/gZzcUbPq-iQ

SIMU.TV: Rafaeli Verane ameondolewa kwenye kikosi cha nchi ya Ufaransa kitakacho cheza michuano ya bara la Ulaya kutokana na kusumbuliwa na maumivu ya misuli.https://youtu.be/P9C1FG7ZvRE

No comments: