Monday, May 30, 2016

RAIS WA ZANZIBAR AFANYA ZIARA KISIWANI PEMBA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein akisalimiana na viongozi alipowasili katika viwanja vya Skuli ya Fidel Castro Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusnini Pemba Mei 29, 2015 alipofika kuwashukuru wanachama wa CCM kwa ushindi waliompatia katika uchaguzi wa Marudio uliofanyika mwezi Machi mwaka huu.
Wanachama cha Mapinduzi CCM wialayanya Chakechake akinyanyua mkono juu kuunga mkono maelezo ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein wakati alipofika katika ukumbi wa Skuli ya Fidel Castro kuwapongeza wana CCM kwa ushindi alioupata katika uchaguzi wa Marudio uliofanyika mwezi Machi mwaka huu.
Mwenyekiti wa Wilaya ya Chakechake Pemba akitoa taarifa wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein (katikati) wakati alipofika katika ukumbi wa Skuli ya Fidel Castro kuwapongeza Wana CCM kwa ushindi alioupata katika uchaguzi wa Marudio uliofanyika mwezi Machi mwaka huu,(kushoto) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai (kulia).
Mohamed Kombo Juma (Wawi) akitoa mchango wake wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati alipofika katika ukumbi wa Skuli ya Fidel Castro kuwapongeza wanachama wa CCM Wilaya ya Chakechake Pemba kwa ushindi alioupata katika uchaguzi wa Marudio uliofanyika mwezi Machi mwaka huu.
Kiembe Ramadhan Khamis kutoka Tawi la Mkoroshoni akitoa mchango wake wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati alipofika katika ukumbi wa Skuli ya Fidel Castro kuwapongeza wanachama wa CCM Wilaya ya Chakechake Pemba kwa ushindi alioupata katika uchaguzi wa Marudio uliofanyika mwezi Machi mwaka huu.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) alipokuwa akizungumza na wanachama wa CCM Wilaya ya Chakechake Pemba wakati alipofika katika ukumbi wa Skuli ya Fidel Castro kuwapongeza kwa ushindi alioupata katika uchaguzi wa Marudio uliofanyika mwezi Machi mwaka huu.

No comments: