Ofisa
Mkuu Mwandamizi Idara ya Masoko na Uhusiano wa Shirika la Taifa la
Hifadhi ya Jamii (NSSF), Salim Kimaro, akizungumza na waandishi wa
habari wakati wa uzinduzi wa maadhimisho ya siku ya madansa duniani
yaliyofanyika kwenye viwanja vya TCC Club jijini Dar es Salaam, mwishoni
mwa wiki na kudhaminiwa na NSSF. (Na Mpiga Picha Wetu)
Ofisa
Mwandamizi Masoko na Uhusiano NSSF, Amina Mbaga, (kushoto) akimkabidhi
fulana, Jumanne Mnola alipotembelea banda la NSSF wakati wa uzinduzi wa
siku ya madansa duniani iliyofanyika viwanja vya TCC Club jijini Dar es
Salaam na kudhaminiwa na NSSF.
Ofisa
Mwandamizi Masoko na Uhusiano NSSF, Amina Mbaga, (kushoto), akimkabidhi
fulana mmoja wa wateja wao, Said Ally, alipotembelea banda lao wakati
wa uzinduzi wa siku ya madansa duniani iliyofanyika kwenye viwanja vya
TCC Club jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki na kudhaminiwa na NSSF.
Ofisa Mwandamizi Masoko na Uhusiano (Nssf), Amina Mbaga akigawa vipeperushi kwa baadhi ya wananchi waliotembelea banda lao.
Ofisa
Uhusiano wa NSSF, Faides Mdee, akigawa vipeperushi kwa baadhi ya
wananchi waliotembelea banda lao katika uzinduzi wa siku ya madansa
duniani uliofanyika kwenye viwanja vya TCC Club Chang’ombe jijini Dares
Salaam, mwishoni mwa wiki. Uzinduzi huo ulidhaminiwa na NSSF.
Wafanyakazi wa NSSF wakimkabidhi fulana mteja wao, Antela Salumu (katikati).
Ofisa
wa NSSF, Innocent Shao, (kulia) akiwaandikisha baadhi ya wanachama
wapya waliojiunga na NSSF walipotembelea banda la NSSF katika uzinduzi
wa siku ya madansa duniani iliyoadhimishwa kwenye viwanja vya TCC Club
Chang’ombe na kudhaminiwa na NSSF.
Ofisa
uandikishaji NSSF, Amina Kisawaga (kulia) akitoa maelezo kwa mteja
alietembelea banda lao Fumbwe Juma, katika uzinduzi wa siku ya madansa
duniani uliofanyika kwenye viwanja vya TCC Club Chang’ombe, Dar es
Salaam na kudhaminiwa na NSSF.
Picha ya pamoja.
No comments:
Post a Comment