Wednesday, May 11, 2016

KAMPUNI YA PIZZA HUT YAZINDUA MGAHAWA JIJINI DAR ES SALAAM LEO.

 Mkurugenzi wa Dough Works Ltd, Vikram Desai, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam katika uzinduzi wa Mgahawa wa Pizza Hut amesema kuwa Kampuni hiyo imeweza kusaidia shule ya Msingi Msasani ikiwa ni nia ya kuonyesha dhamira yao ya kusaidia jamii ambazo zimewazunguka.
 Mkurugenzi wa Dough Works Ltd, Vikram Desai akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, Kulia ni Meneja Mkuu wa Kampuni ya Pizza Hut Afrika, Randall BlackFord 
Balozi wa Marekani hapa nchini, Mark Childress akizungumza na uongozi wa Mgahawa wa Pizza Hut jijini Dar es Salaam leo. 
Baadhi ya wadau waliohudhulia katika uzinduzi wa Mgahawa wa Pizza Hut jijini Dar es Salaam leo. 
  Meneja Mkuu wa Kampuni ya Pizza Hut Afrika, Randall BlackFord akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo wakati wa kusherekea ufunguzi wa Mgahawa wa Pizza hut ambao ni wa miamoja duniani kwa kupeleka pizza kwenye kilele cha mlima Kilimanjaro. Amesema kuwa huduma ya kupeleka izza katika kilele cha Mlima Kilimanjaro kitatimiza rekodi ya dunia ya Gines kwa kutoa piza katika urefu wa juu kabisa.
Balozi wa Marekani hapa nchini, Mark Childress  akizungumza katika ufnguzi wa Mgahawa wa Pizza Hut jijini Dar es Salaam na kuwapongeza timu nzima ya mgahawa huo kwa kuifikia Tanzania na Kupandisha Mlima Kilimanjaro na kuwa na joto linalostahili kuliwa tena.
Balozi wa Marekani hapa nchini, Mark Childress katikati akikata utepe kuzindua Mgahawa wa Pizza Hut jijini Dar es Salaam.
 Mgahawa wa Pizza Hut upo katika maeneo ya Mkuki Mall Kariakoo.

No comments: