Thursday, April 28, 2016

WAZAZI WAASWA KUWAPELEKA WATOTO ILI KUPATA CHANJO YA SURUA NA POLIO ZILIZOANZA KUTOLEWA APRILI 25 HADI 29.

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, ,Njinsia,  Wazee na Watoto, Dkt. Mpoki Ulisubisya akizungumza na wadau mbalimbli wa wa afya juu ya utowaji wa chanjo umeanza kufanyika kuanzaia Aprili 25 hadi29 mwaka huu wananchi wote wanaombwa kutoa ushilikiano kuwapeleka watoto wote amabo hawajapata huduma ili wapate chanjo,leo katika maazimisho ya wiki ya chanjao nchini, jijini Dar es Salaam.
 Meneja Mpango wa Taifa wa Chanjo wa Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, ,Njinsia, Wazee na Watoto,Dkt. Dafrossa Lyimo akizungumza na wadau mbalimbli wa wa afya juu ya chanjo ya HPV imeanza kutolewa nchini Tanzania kuanzia mwaka 2014 kwa wasichana wenye umri wa miaka 9   lengo ni kutoa chanjo hii nchi nzima  na kuwakinga wanawake na ugonjwa wa saratani mlango wa kizazi na kupunguza vifo na madhara yanayosababishwa na saratani, leo jijini Dar es Salaam katika maazimisho ya wiki ya chanjao nchini.
 Afisa  Mpango wa Taifa wa Chanjo, Dkt Frida Mghamba akiwakilisha mada leo katika maadhimisho ya wiki ya chanjao nchini.
 Daktari wa Watoto wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili akitowa mada juu ya huduma za chanjo  ya polio zinatolewa nchini bila malipo katika vituo vya huduma vya afya vya  uma na vituo binafsi. , leo jijini Dar es Salaam katika maazimisho ya wiki ya chanjao nchini.
Wadu mbalimbali waliofika kwenyemkutano huo  uliofanyika leo jijini Dar es Salaam .
(Picha na Emmanuel Massaka wa Globu ya jamii)

No comments: