Sunday, April 17, 2016

SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI

SIMU.TV:   Mashindano ya mchezo wa tenisi kwa watoto yamesogezwa hadi Aprili 30 kwa sababu ya mvua zinazoendelea jijini Dare es Salaam https://youtu.be/eOXHg-vIM6A
 SIMU.TV:  Timu mbalimbali za mchezo wa vishale zimeanza maandilizi ya mashindano ya michuano ya kubukumbu ya aliekua mlezi wa timu ya Ibukonihttps://youtu.be/u2rB8iq-SK8
 SIMU.TV:  Balozi Seif Idd amelitaka jeshi la polisi kutopuuza uhalifu mdogomdgo sababu unaweza kusababisha hasara kwa serikali https://youtu.be/MmV2zJf65b0
 SIMU.TV:  Ujumbe wa wafanya biashara kutoka Omani wameutembele mkoa wa Mtwara kwa lengo la kuangalia fursa mbalimbali za uwekezajihttps://youtu.be/rOizISUWE_U  
 SIMU.TV:  Wanachi wameombwa kujitokeza kwa wingi kwenye zoezi la uchangiaji damu kwa hiari ili kuokoa maisha kwa wenye mahitaji ya damuhttps://youtu.be/RYD_m25mcYU
 SIMU.TV:  Wazazi wameombwa kuunga mkono juhudi za Rais Magufuli kwenye sera ya elimu bure nchini ili kuendeleza elimu  https://youtu.be/3Kr5jns8Lko
 SIMU.TV:  Waziri wa habari Sanaa na michezo ameahidi kupambana na rushwa katika vyama vya michezo nchini https://youtu.be/WSLb9ssui2k
 SIMU.TV:  Timu ya Yanga imefanikiwa kurudi Kileleni mwa Ligi kuu baada ya Kuifunga Mtibwa; https://youtu.be/5ZEawroQweA
 SIMU.TV:  Wafanyabiashara waunga mkono kufutwa kwa bodi ya Machinga Complex baada ya kuwepo kwa ufisadi mkubwa; https://youtu.be/Wsi_poQjiDQ
 SIMU.TV:  Wakulima wa korosho mikoa ya Lindi na Mtwara watahadharishwa juu ya uwepo wa ugonjwa wa mnyauko; https://youtu.be/IUCYiHADCtE
 SIMU.TV:  Baadhi ya wabunge mkoani Tanga waendelea kutoa msaada katika shule ya Sini day iliyoungua moto; https://youtu.be/T4kXus5gZcU
 SIMU.TV:  TCRA yaombwa kushirikiana na serikali katika kuhakikisha ujenzi wa minara ya simu unaenea Tanzania nzima; https://youtu.be/6zIfYXZ1koM
 SIMU.TV:  Rais Dk Magufuli aweka jiwe la msingi kuashiria kuanza kwa ujenzi wa barabara ya juu (fly overs)katika makutano ya Tazara; https://youtu.be/E_LHXfe0iQE
 SIMU.TV:  Serikali ya Burundi imeelezea kufurahishwa kwake na utendaji kazi wa Serikali ya Rais Magufli na kuahidi ushirikiano; https://youtu.be/uf5URKwDCUU

No comments: