Sunday, April 17, 2016

ADOLPH NA DKT. GRACE WAMEREMETA

 Kanisa la Mtakatifu Gasper Mbezi Chini jijini Dar es salaam likiwa tayari kwa ndo ya wadau Adolph  Ndyeabura na Dkt. Grace Matasha kabla ya kuelekea ukumbi wa Target ulioko Mbezi chini kwa mnuso mmoja wa nguvu.
 Maharusi wakivalishana pete baada ya kumeremeta

 Wakisaini hati za ndoa
 Adolph akiwa makini wakati mkewe akisaini hati
 Maharusi wakionesha hati zao za ndoa
 Adolph na Dkt. Grace wakitoka kanisani kwa furaha
 Safari ya kuelekea mnusoni katika ukumbi wa Target Mbezi Juu
 Picha ya pamoja 
 Mdau mwandamizi wa Globu ya Jamii wa UK Chris Lukosi akila pozi na Adolph ambaye ni mtoto wa dada yake 
 Maharusi na treni lao la wapambe
 Maharusi na wazaa chema
 Dkt. Grace na wapambe wake
 Adolph na Dkt. Grace katika mapozi
 Ukumbini

 Maharusi wakizindua dansi baada ya kutambulisha familia
 Pozi
 Hugs
 Chris ndani ya nyumba
 Chris akimsalimia Dkt. Grace 

 Chris na madada
 Meza ya wazee
 Ukumbi umenoga
 Furaha na nderemo
 Furaha tupu ya wanafamilia
Kinadada wanafurahi

No comments: