Sunday, April 10, 2016

HABARI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENISIMU.TV:  Mh.Samia Suluhu azindua mradi wa makazi ya Palm Village unaoendeshwa na serikali ya China kusaidia wananchi wa kawaida;  https://youtu.be/BViIIRwWCjg

SIMU.TV:   Jeshi la polisi lafyeka mashamba ya bangi na kuteketeza tani 2 za bangi katika wilaya ya Bariadi; https://youtu.be/XQM08T9YGr4

SIMU.TV:  Wazee wanaolelewa katika kambi ya Kolandota Shinyanga walazimika kujihifadhi kwenye madarasa ya shule kufuatia ubovu wa majengo ya kituo hicho; https://youtu.be/RKm_VArWZ1Y

SIMU.TV:  Naibu waziri Ruhanga Mpina atoa agizo kali kwa hospitali ya rufaa Iringa na kutaka agizo hilo litekelezwe ndani ya mwezi mmoja; https://youtu.be/gfEQYIdbi3I

SIMU.TV:  Wakulima wa zao la tumbaku Chunya walalamikia makampuni  yanayonunua tumbaku kukata kufanya nao mkutano ili waweze kuibua changamoto zao; https://youtu.be/Sy6QhB45W5A
SIMU.TV:  Dawati la kijinsia polisi lajitolea kufanya mafunzo juu ya ukatili wa kijinsia na watoto mkoani Tanga; https://youtu.be/3zS20iQ8gQI

SIMU.TV:  Yanga yashindwa kutamba nyumbani baada ya kulazimisha sare ya  bao 1-1 na  timu ya Al Ahla ya Misri ; https://youtu.be/63Uvh5RuKAQ

SIMU.TV:  Kikundi cha sanaa cha Machozi theater group watia fora katika tamasha la vijana la kumbukumbu ya mwalimu Nyerere;  https://youtu.be/gig_oY6BMPw

SIMU.TV:  Ligi kuu Uingereza imeendelea kurindima barani Ulaya ambapo timu ya Arsenal yabaki hoi baada ya kutoa sare na timu ya West Ham; ttps://youtu.be/-TIAoOuEIcA

SIMU.TV:  Rais wa Zanzibar Dkt.Shein amewateuwa mawaziri kumi na tatu na manaibu waziri saba ili kutumikia vema serikali ya Zanzibar: https://youtu.be/-VMkbyehoxM

SIMU.TV:  Waziri mkuu Kassim majaliwa ameitaka hospitali ya rufaa ya Benjamini Mkapa iliyopo mkoani Dodoma kufunga mashine za MRI na CT SCAN: https://youtu.be/m2iXhWt_4Jg

SIMU.TV:  Waziri wa ujenzi na uchukuzi Prof.Mbarawa amelikagua na kuridhishwa na daraja la kigamboni na kuanza kutumika rasmi april 16: https://youtu.be/vRcPkzV4kPE

SIMU.TV:  Jeshi la polisi mkoani Simiyu limeteketeza mashamba yenye ekari  tano za bangi katika kijiji cha Ihusi wilayani Bariadi: https://youtu.be/kYsSx4jHevk

SIMU.TV:  Taasisi ya kupambana na rushwa katika mkoa wa Katavi, imewakamata viongozi na wachezaji kwa tuhuma ya kupanga matokeo: https://youtu.be/aQY7yWujhW8

SIMU.TV:  Nahoza wa zamani wa timu ya Nigeria Nwankwo kanu amesema ndoto zake ni kufungua hospitali tano za kutibu magonjwa ya moyo: https://youtu.be/lBc-4DwB39s

SIMU.TV:  Tanzania imetajwa kuwa miongoni mwa nchi waathirika wakubwa wa dawa za kulevya ingawa mapambano bado yanazidi kuendelea. https://youtu.be/PYdMil3WGgU

SIMU.TV:  Je ni nini kauli ya Jeshi la wananchi wa Tanzania JWTZ juu ya tuhuma za unyanyasaji wa kijinsia wanaolinda amani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo? https://youtu.be/PHtxl7FUyCM

SIMU.TV:  Rais Wa Zanzibar Dkt. Shein atangaza baraza la mapinduzi huku akipunguza idadi ya wizara hadi kufikia 13. https://youtu.be/SCN-Drpe1ac

No comments: