Wednesday, March 9, 2016

WAZIRI MBARAWA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA FLOW METER

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa, akimsikiliza mtaalam wa kivuko eneo la Magogoni jijini Dar es salaam wakati alipokagua kivuko cha MV Kigamboni na MV Magogoni kuona utendaji wake.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa, akifafanua jambo kwa Meneja ujenzi wa kampuni ya BQ Bw. Neven Slavujevic inayojenga mtambo wa kupima mafuta bandarini (flow meter ) kwenye kituo cha kupakulia mafuta kilichopo Mji Mwema Kigamboni jijini Dar es salaam.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa, akipanda juu ya mtambo wa kupima mafuta bandarini (flow meter) kwa ajili ya kuukagua kwenye kituo cha kupakulia mafuta kilichopo Mji Mwema Kigamboni jijini Dar es salaam.
Meneja ujenzi wa kampuni ya BQ Bw. Neven Slavujevic inayojenga mtambo wa kupima mafuta bandarini (flow meter )akifafafanua jambo kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa alipokagua mtambo huo.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa, akitoa maelekezo kwa wajenzi wa Flow meter ya Mji mwema.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa, akimsikiliza mmoja wa abiria wanaotumia kivuko cha Magogoni kabla ya kukikagua.

No comments: