Wednesday, March 9, 2016

SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI

 Simu.tv: Rais John Magufuli amtembelea na kumjulia hali makamo wa kwanza wa raisi wa Zanzibar Maalim Seif katika hotel ya Serena jijini Dar es salaam ambako anapata mapumziko baada ya kuruhusiwa kutoka hospitalini.https://youtu.be/8P6DRHYTiME
 Simu.tv: Serikali yakiri kuwa pamoja na jitihada mbalimbali zinazofanyika katika kuleta usawa wa kijinsia bado kuna kazi kubwa katika kufanikisha adhima hiyo.https://youtu.be/-Ym_FdaNVzI
 Simu.tv: Wafanyabiashara wilayani Babati mkoani Manyara waandamana hadi ofisi za mkuu wa wilaya hiyo kufuatia maji kujaa kwenye maeneo yao ya biashara huku wakiishushia serikali lawama kutokana na kushindwa kuboresha miundombinu. https://youtu.be/s66WmcPkFH8
 Simu.tv: Mamlaka ya mapato Tanzania TRA imefanikiwa kukusanya kiasi cha shilingi trilioni 8.56 kuanzia mwezi wa 7 mwaka 2015 hadi mwezi februari mwaka huu. https://youtu.be/xIFy8VSNZvA
 Simu.tv: Watanzania washauriwa kuwa na utamaduni wa kutunza fedha na kuweka akiba wakati wakiwa na nguvu ili wawaze kunufaika na matunda ya pensheni zao baada ya kustaafu. https://youtu.be/1_sH5KFC8Eg
 Simu.tv: Taasisi na vyama vya kuweka na kukopa washauriwa kutumia mifumo mipya ya kuweka fedha itakayo saidia kukusanya taarifa za uingizwaji na utoaji wa fedha ili kuzuia ubadhilifu. https://youtu.be/X-u9epcmSaE
 Simu.tv: Timu za Real Madrid na Wolfsburg zimekuwa timu za kwanza kufuzu nane bora ya ligi ya mabingwa barani ulaya UEFA, baada ya hapo jana kuibuka na ushindi dhidi ya wapinzani wao. https://youtu.be/9sK6XaTQcI8
 Simu.tv: Rais John Magufuli na Rais wa Vietnam, Trough Tan Sang wakubaliana  kuwa wafanyabishara wa wakitanzania na wale wa Vietnam kutokutozwa kodi mara mbili; https://youtu.be/RPHWy5BXMl0
 Simu.tv: Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akutana na kufanya mazungumzo na mke wa Rais wa Vietnam, Mai Thi Hanh https://youtu.be/02IaSLTBE7k
 Simu.tv: Rais John Magufuli amemtembelea na kumjulia hali makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad;https://youtu.be/RDWQabJV95s
 Simu.tv: Waziri wa nchi ofisi ya makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar, Mohamed Aboud asema afya ya makamu wa kwaza wa Rais wa Zanzibar, Mhe.Maalim Seif  Hamad inaendelea vizuri; https://youtu.be/LtW6RKnOrF4
 Simu.tv: Serikali yauagiza uongozi wa chuo kikuu cha Mtakatifu Joseph tawi la Dar es Salaam kumaliza haraka changamoto zinazowakabili wanafunzi chuoni hapo; https://youtu.be/U6pcLPm-q4I
 Simu.tv: Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe.Wiliam Lukuvi afuta hati za mashamba 13 kati ya 49 ya wawekezaji mkoani Arusha ambayo bado hajaendelezwa; https://youtu.be/aXU-vmkZSSo
 Simu.tv: Shirika la viwanda vidogo nchini SIDO laendesha mafunzo ya matumizi ya mfumo wa kieletroniki wa utafutaji wa masoko;https://youtu.be/jdOOG_Wc35s
 Simu.tv: Benki ya CRDB yaikopesha manispaa ya Temeke mkopo wa zaidi ya shilingi bilioni 19 kwa ajili ya kulipa fidia kwa wakazi wa Temeke waliojenga katika maeneo yasiyo ruhusiwa; https://youtu.be/kIGD3kPz8AQ
 Simu.tv: Timu ya Coastal unioni yaitandika Mgambo JKT goli 1 kwa 0 katika mchezo wa ligi kuu soka Tanzania bara uliochezwa hii leo katika uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga; https://youtu.be/I0X8h9qML-k
 Simu.tv: Wanamichezo nchini wameshauriwa kuendelea kufanya mazoezi baada ya kustaafu ili kujiepusha na magonjwa mbalimbali kama vile kisukari na shinikizo la damu; https://youtu.be/GZbA_ECULn0
 Simu.tv: Timu ya Real Madridi ya nchini Uhispania yafanikiwa kutinga hatua ya robo fainali ya michuano ya ligi mabingwa Ulaya baada ya ya kuilaza AS Roma kwa jumla ya goli 2 kwa 0; https://youtu.be/hzTxPOmrzak

No comments: