Tuesday, March 8, 2016

SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI

Mwanamke mmoja mkazi mmoja wa Kaliua mkoani Tabora anaomba msaada kufuatia kunyanyaswa na kutelekezwa na mume wake;https://youtu.be/BjlMkaq0RCA

Wanawake mkoani Iringa waadhimisha siku ya wanawake duniani kwa kuwasaidia watoto wanaoishi katika mazingira magumu;https://youtu.be/aEm4DV3jklM
 Baadhi ya wanawake wajawazito katika kituo cha afya cha Chikande mkoani Dodoma waiomba serikali kuwasaidia gari la wagonjwa;https://youtu.be/Rf3lhMESCwA
 Waziri mkuu Kassim Majaliwa afungua rasmi  mkuatano wa tano kikao cha nne cha bunge la cha tatu  la Afrika mashariki; https://youtu.be/1ogghD-dt6Q
 Waziri wa Ujenzi , Uchukuzi na Mawasiliano ataoa mwezi mmoja kwa wakala wa majengo nchini TBA kuhakikisha wanafuatilia na kudai madeni kwa wananchi na taasisi za serikali ambazo zinadaiwa fedha za pango za nyumba wanazoishi; https://youtu.be/MR4isevjdEI
 Taasisi ya sekta binafsi TPSF nchini  yabuni mfumo maalum wa taarifa kupitia mtandao wa intaneti na simu za mkononi kwa lengo la kumsaidia mfanyabishara kupata taarifa mbalimbali kuhusu biashara anayofanya;https://youtu.be/voUHox2luAs
 Inaelezwa kuwa kasi ya mfumuko wa bei  wa vyakula nchini yapungua kutokana na kupungua kwa bei ya bidhaa ya za vyakula;https://youtu.be/BYmT3QSQN0k
 Kocha mkuu wa timu ya taifa ya soka ya Taifa Stars, Charles Mkwasa atangaza kikosi cha Taifa Stars kinatakachoivaa timu ya taifa ya Chad katika mchezo wa kuwania tiketi ya michuano ya mataifa ya Afrika;https://youtu.be/htBivudrll4
 Serikali yautaka uongozi wa uwanja wa taifa kukarabati haraka miundombinu ya maji safi na maji taka katika uwanja huo;https://youtu.be/vdiH3jfMqxA
 Timu ya Yanga yaitandika timu ya African Sports kwa jumla ya goli 5 kwa 0 katika mchezo wa ligi kuu soka Tanzania bara uliofanyika hii leo jijini Dar es Salaam; https://youtu.be/72lH-XGRRgA
 Kampuni ya simu ya Sumsung inatarajia kuzindua toleo jipya la simu aina ya Sumsung Galaxy S7 ; https://youtu.be/6Vw6ZDpdeQ4

No comments: