SIMU.TV: Baraza la michezo la Taifa BMT imeandaa semina ya udhamini na masoka katika michezo kwa vyama vya michezo na mashirika mbalimbali. https://youtu.be/FbrJ8j-CGWQ
SIMU.TV: Kocha wa Yanga amesema kikosi chake kipo tayari kuivaa timu ya APR ya Rwanda katika mchezo wa marudiano wa klabu bingwa Afrika. https://youtu.be/FyzC4P7k5lQ
SIMU.TV: Fahamu mengi kutoka kwa wadau wa mfuko wa pensheni kutoka LAPF, wakikujuza kuhusu jaliyojiri mkutani wa wadau wa LAPF: https://youtu.be/3dRsoNBvdJk
SIMU.TV: Jifunze mambo mengi kutoka kwa madaktari bingwa, wakikufahamisha kuhusu siku ya afya ya kinywa na meno duniani: https://youtu.be/9RoBPwiKPrU
SIMU.TV: Yajue mengi kutoka kwa wadau wa haki za binadamu, wakikudadavulia kuhusu utekelezaji wa mambo mbalimbali yanayohusu haki za wazee: https://youtu.be/X_Y7YGfcj6c
SIMU.TV: Shuhudia vyombo vya dola kutoka visiwani Zanzibar wakielezea jinsi walivyojipanga katika suala la ulinzi na usalama kuelekea kipindi cha uchaguzi: https://youtu.be/TF1o1Ac-4Hw
SIMU.TV: Jionee jinsi viongozi shupavu kama Martin Luther King walivyojitolea katika kutafuta haki na usawa kwaajili ya mtu mweusi bara la Marekani; https://youtu.be/6jn3PAe-0OI
SIMU.TV: Maafisa na askari Zanzibar wametakiwa kutekeleza sheria za uchaguzi pamoja na kulinda raia na mali zao kipindi cha uchaguzi; https://youtu.be/GQzRjJZey3I
SIMU.TV: Waziri wa mambo ya ndani ya nchi Charles Kitwanga awataka wananchi kuondokana na hofu kwa kuwepo na askari wengi katika cha uchaguzi visiwani Zanzibar. https://youtu.be/gFp-46QrZx
SIMU.TV: Naibu waziri wa ofisi ya makamo wa raisi muungano na mazingira Luhaga Mpina amekifungia kiwanda cha kuzalisha saruji cha Ryno Cement jijini Tanga. https://youtu.be/UV6ZtrI9wTI
SIMU.TV: Umoja wa wanawake wa CCM mkoani Dar es Salaam umempongeza rais Magufuli kwa kazi nzuri ya kuwainua watanzania kiuchumi. https://youtu.be/9YfSnjZepE8
No comments:
Post a Comment