Friday, February 5, 2016

WAZIRI MKUU MAJALIWA AKIZUNGUMZA NA WABUNGE MBALIMBALI NJE YA VIWANJA VYA BUNGE DODOMA.

 Waziri mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Ilemela na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula kwenye jengo la Utalwala la Bunge mjini Dodoma Februari 5, 2016.

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Longido, Onesmo Ole- Nangole kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Februari 5, 2016. 
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Simanjiro , James Ole Millya (kulia)kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Februari 5, 2016. Katikati ni Mbunge wa longido, Onesmo Ole Nangole.

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari (katikati) na Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la CHADEMA (BAVICHA), Patrobas katambi (kulia) kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Februari 5, 2016
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Februari 5, 2016. 
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: