Sunday, February 21, 2016

SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI

 Kituo cha umeme cha Gongo la Mboto chalipuka majira ya saa nne na nusu jan usiku na kupelekea maeneo kadhaa yanayo hudumiwa na kituo hicho kukosa nishati hiyo. https://youtu.be/PxNXqi5n-mU  

Nchi ya Sweeden yaipongeza Tanzania katika juhudi zake za kuhakikisha huduma za kifedha zinasambazwa kila maeneo hasa katika maeneo ya vijijini. https://youtu.be/yy2pfPhqCZ4  

Naibu waziri wa malia asili na utalii aitaka halmashauri ya wilaya ya Babati kuhakikisha inakamilisha taratibu zote za madai ya fidia  kwa waathiriwa wote waliojeruhiwa na kuuwawa kwa wanyama aina ya viboko. https://youtu.be/AWshXjSA1xw  

Wachimbaji wadogo wadogo katika kijiji cha Nyakabale mkoani Geita wawalalamikia polisi wanaolinda mgodi wa Geita kuwafuata hadi kijijni na kuwarushia risasi za moto pamoja na kuwafyatulia mabomu. https://youtu.be/ccxGNHyYAhQ  

Chama cha wafanyakazi wa sekta ya huduma za mtadao na mawasiliano Tanzania TEUTA chamuomba Rais Magufuli kukipatia mtaji wa kujiendesha pamoja na kubadili muundo wa utendaji.https://youtu.be/ZRzgLi6b8uM  

Mbunge wa Rungwe mkoani Mbeya awaagiza wenyeviti wa vijiji na watendaji kata zote zilizomo ndani ya jimbo hilo kuorodhesha watoto yatima na wenye uwezo wa masomo ya sayansi ili waweze kunufaika na mfuko wa elimu wa jimbo ulioanzishwa.https://youtu.be/W3zSMBrYQo4  

Mkuu wa wilaya ya Loliondo aitaka jamii ya kimasai kuacha tabia ya kuwanyima haki ya kupata elimu watoto wa kike na wale wenye ulemavu kwani mila hiyo ni potofu na imepitwa na wakati.https://youtu.be/h8ID1j0qZcM

Vyama  vinane vya siasa kati ya vyama kumi na nne visiwani Zanzibar vyathibitisha kushiriki uchaguzi mkuu wa visiwani humo;https://youtu.be/31oQTWdAvGc  

Serikali yaitaka kamati ya watalaam jijini Arusha kutoa sababu za kushindwa kukarabati majengo ya shule ya msingi Kisimani;https://youtu.be/XHw3KrgGut4   

Zaidi ya hekta elfu thelathini na mia saba za mashamba mkoani Mtwara zafunikwa na maji kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha mkoani humo; https://youtu.be/0ht3TkZg5eA  

Serikali yawahakikishia wakazi wa mkoani Kigoma kuwa miradi ya umeme itaanza kutekelezwa hivi karibuni;https://youtu.be/GwLS2KJ-_BM  

Shirika la umeme Tanzania TANESCO mkoa wa Ilala  laanza kufanya marekebisho ya mitambo ya zamani ya kupozea umeme sambamba na kuanzisha vituo vipya ili kuboresha huduma za umeme kwa wateja wake; https://youtu.be/HKu2ih2uxxI  

Wamiliki wa shule na vyuo binafsi nchini wametakiwa kuacha tabia ya kuajiri walimu wa kigeni wasio na taaluma ya Ualimu;https://youtu.be/HaOykZQe87w  

Halmashauri zote mkoani Tabora zimetakiwa kuhakikisha shule zote za msingi zinakuwa na vyoo ili kuepuka magonjwa ya mlipuko;https://youtu.be/gNz4uIS2LRs  

Nchi ya Sweden yaipongeza serikali ya Tanzania kwa kusogeza huduma za kifedha kwa wananchi wa vijijini;https://youtu.be/M5y1KFC-jG4  

Serikali yatoa wiki mbili kwa watumishi wa idara ya ardhi mkoani Mwanza kuhakikisha wanatatua migogoro ya ardhi iliyopo mkoani humo; https://youtu.be/l9SQ1BXoUGg  

Shirikisho la soka nchini TFF limetakiwa kuchukua hatua kali kwa vilabu vya soka vitakavyobainika kupanga matokeo kwenye michezo yao; https://youtu.be/ckNZOY7GtQY  

Timu ya Maji Maji yaitandika timu ya Mtibwa Sugar goli 1-0 katika mchezo wa ligi kuu soka Tanzania bara;https://youtu.be/D0hTPMrYi2o  

Inaelezwa kuwa tatizo la uelewa mdogo wa  kuzungumza lugha ya kiingereza ni changamoto kubwa inayowakabili vijana wa Zanzibar kupata fursa ya ajira nje ya nchi; https://youtu.be/jIgAXFOvrKI   

Baraza la tiba asili na tiba mbadala visiwani Zanzibar lawataka waganga wa asili kujitokeza kwa wingi kufunya usajili ili wapate fursa ya kufanya kazi zao bila usumbufu;https://youtu.be/FZpOMysXSX8

No comments: