TIMU za Toto Africans na Kagera Sugar zimetoka sare ya bao 1-1 kwenye Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza, ambapo Toto Africans ilitangulia kufunga bao dakika ya 24 mfungaji akiwa Japhary Vedastus.
Mh. Nassoro Amduni kutoka Kigoma(kushoto) ndie aliyekuwa Kamisaa wa Mtanange wa leona kulia ni Bw. Malick Tibabimale Katibu wa chama cha Soka Wilaya ya Bukoba nae alikuwepo Uwanjani hapo kushuhudia kipute.
No comments:
Post a Comment