Monday, February 22, 2016

HABARI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI

SIMU.TV: Baraza la tiba mbadala lawataka waganga wa jadi kufanya usajili na kukata vibadili ili waweze kuendesha kazai zao kihalali; https://youtu.be/-YODDEGqYoM
SIMU.TV: Mashabiki wa klabu ya Simba watoa yao ya moyoni baada ya kipigo walichopokea kutoka kwa Yanga siku ya Jumamosi;  https://youtu.be/JklTcRuXYHQ 
SIMU.TV: Timu ya taifa ya kriket  yaiomba serikali kukamilisha mchakato wa kupata mkufunzi kwaajili ya timu hiyo ili kuendeleza mchezo huo; https://youtu.be/4Ib8qHWeJMI 
SIMU.TV: Wadau wa mpira wa kikapu wametakiwa kutumia fursa michuano ya ligi ya NBA kusaka vipaji vitakavyoendeleza mchezo huo nchini; https://youtu.be/VK_1fGvzkko
 SIMU.TV: Mwanamuziki wa Sweden anayeimba kwa lugha ya Kiswahili SaRaha aingia katika robo fainali katika mashindano  ya Melodifestival Sweden; https://youtu.be/FOpNuFnJz1s
 SIMU.TV: Timu ya Majimaji yaibuka kidedea dhidi ya timu ya Mtibwa Sugar kwa bao 1-0 katika mechi iliyochezwa katika uwanja wa majimaji; https://youtu.be/GeMdrOZITVA
 SIMU.TV: Vyama 8 vya siasa kati ya 14 visiwani Zanzibar vimethibitisha kushiriki katika uchaguzi wa marudio utakaofanyika tarehe 20 march. https://youtu.be/OhxNyRdQkLs
 SIMU.TV: Fahamu mambo mengi kutoka kwa mwanaharakati wa masuala ya siasa kutoka katika chama cha CHAUMA akikujuza kuhusu nafasi ya vijana katika siasa: https://youtu.be/6bARz7C3sgo
 SIMU.TV: Yajue mengi kutoka kwa Mkurugenzi wa shirika la bima la taifa NIC, akikufahamisha mambo mbalimbali kuhusu shirika hilo: https://youtu.be/8cFrY-YY3Ek
 SIMU.TV: Jifunze mambo mengi kutoka kwa vijana visiwani Zanzibar wakikujuza mengi kuhusu yanayoendelea kutoka katika baraza la vijana: https://youtu.be/D-i08aFQO_Q

No comments: