Tuesday, February 9, 2016

CHUKI NA HASIRA ZA WANANCHI DHIDI YA WAGOMBEA CHANZO CHA KURA NYINGI KUHARIBIKA UCHAGUZI MKUU 2015

Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini Tanzania NEC Kailima Ramadhani akifungua Mkutano wa Tathimini  kati ya Tume na Asasi za Kiraia kuhusu Elimu ya mpiga Kura wakati wa Uchaguzi wa mwaka 2015, uliofanyika katika ukumbi wa Victoria Palace jijini Mwanza.
Pamoja na kutambua kazi kubwa iliyofanywa na Asasi za kiraia kwa kuweza kutoa Elimu ya mpiga kura na kuwahamasisha wananchi wote na wale wanaoishi maeneo yasiyofikika kwaurahisi kuweza kushiriki katika zoezi la upigaji kura.

Bado kulijitokeza changamoto za uelewa kuhusu alama sahihi inayohitajika kuwekwa katika karatasi za kura. Baadhi ya wapiga kura walikuwa wanaweka alama ya V kwa mgombea wanayemtaka na kuweka alama X kwa mgombea asiyemtaka na hivyo kupelekea kura nyingi kuharibika. BOFYA PLAY KUSIKILIZA.
Wadau mbalimbali toka Asasi za watu binafsi wamehudhuria Mkutano huu wa Tathimini  kati ya Tume na Asasi za Kiraia kuhusu Elimu ya mpiga Kura wakati wa Uchaguzi wa mwaka 2015, uliofanyika katika ukumbi wa Victoria Palace jijini Mwanza.
Washiriki kwenye mkutano.
Ukosefu wa fedha ulisababisha baadhi ya asasi za kiraia za uelimishaji upigaji kura na utoaji elimu ya mpiga kura kujikita maeneo ya mijini tu vhivyo kwakosesha wananchi wa vijijini kukosa elimu hiyo. BOFYA PLAY KUSIKILIZA.
Sehemu ya wadau.
Kusanyiko kwa ujumla.
Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini Tanzania NEC Kailima Ramadhani akifungua Mkutano wa Tathimini  kati ya Tume na Asasi za Kiraia kuhusu Elimu ya mpiga Kura wakati wa Uchaguzi wa mwaka 2015, uliofanyika katika ukumbi wa Victoria Palace jijini Mwanza.
Haya ndiyo madudu yaliyofanywa na wapiga kura uchaguzi mkuu hata kusasabisha kura kuharibika uchaguzi 2015. BOFYA PLAY KUSIKILIZA.
Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini Tanzania NEC Kailima Ramadhani (walioketi mbele katikati) katika picha ya pamoja na wadau wa asasi za utoaji elimu ya mpiga kura toka mkoa wa Geita.
Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini Tanzania NEC Kailima Ramadhani (walioketi mbele katikati) katika picha ya pamoja na wadau wa asasi za utoaji elimu ya mpiga kura toka mkoa wa Kagera.
Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini Tanzania NEC Kailima Ramadhani (walioketi mbele katikati) katika picha ya pamoja na wadau wa asasi za utoaji elimu ya mpiga kura toka mkoa wa Mwanza.
Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini Tanzania NEC Kailima Ramadhani (walioketi mbele katikati) katika picha ya pamoja na wadau wa asasi za utoaji elimu ya mpiga kura toka mkoa wa Shoinyanga.
Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini Tanzania NEC Kailima Ramadhani (walioketi mbele katikati) katika picha ya pamoja na wadau wa asasi za utoaji elimu ya mpiga kura toka mkoa wa Mara.
Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini Tanzania NEC Kailima Ramadhani (walioketi mbele katikati) katika picha ya pamoja na wadau wa asasi za utoaji elimu ya mpiga kura toka mkoa wa Simiyu.
Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini Tanzania NEC Kailima Ramadhani (walioketi mbele katikati) katika picha ya pamoja na wadau wa asasi za utoaji elimu ya mpiga kura kwa ujumla.
Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini Tanzania NEC Kailima Ramadhani akizungumza na waandishi wa habari wa mkoa wa Mwanza.
IFUATAYO ni Xclussive Interview iliyofanywa na kipindi cha KAZI NA NGOMA cha kituo cha radio JEMBE FM Mwanza na Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini NEC Kailima Ramadhani hapa akifafanua masuala mbalimbali likiwemo suala la Uchaguzi Zanzibar, Vyama mbalimbali kutangaza kuibiwa kura nakadhalika. BOFYA PLAY KUSIKILIZA.

No comments: