Mdau Edwin Hamli na Mkewe Isabella Mushi wakipozi kwa picha mara baada ya kufunga ndoa yao takatifu kwenye kanisa katoliki la Chang'ombe na kufuataia na hafla ya kukata na shoka kwenye ukumbi wa Water Front jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo. hafla hiyo imehudhuriwa na ndugu marafiki na jamaa wa maharusi katika kufanikisha Mdau Edwin Hamli na Mkewe Isabella Mushi wakivishana pete wakatia walipofunga ndoa yao takatifu kwenye kanisa katoliki la Chang'ombe leo. baadhi ya wasimamizi wa harusi hiyo wakishiriki ibada ya harusi hiyo kwenye kanisa katoliki la Chang'ombe jijini Dar es salaam Mdau Edwin Hamli na Mkewe Isabella Mushi wakipozi wakiwa na waimamizi wao mara baada ya kufunga ndoa yao takatifu kwenye kanisa katoliki la Chang'ombe Mdau Edwin Hamli na Mkewe Isabella Mushi wakionyesha vyeti vya ndoa mara baada ya kufunga ndoa yao takatifu kwenye kanisa katoliki la Chang'ombe
Maharusi Edwin Hamli na Mkewe Isabella Mushi wakipozi kwa picha kwenye ukumbi wa Woter Front mara baada ya kufunga ndoa yao takatifu kwenye kanisa katoliki la Chang'ombe
Kutoka kulia ni mdau Willy Mwenyekiti wa kamati Kombe mjumbe wa kamati, Merkior mjumbe na Gasper mjumbe wakipozi kwa picha.
No comments:
Post a Comment