Sunday, January 24, 2016

SIMU TV: HABARI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI

SIMU.TV: Watu watatu wafariki dunia ,35 wajeruhiwa katika ajali ya basi la BM lililokuwa likielekea Morogoro; https://youtu.be/Y2BzLhUjFi8
 SIMU.TV: Maafisa wanne wakuu wa kampuni ya huduma za meli nchini wamesimamishwa  kazi kwa ubadhilifu wa Mil 600 za ukarabati wa meli;https://youtu.be/-hb---s_pe4  
 SIMU.TV: Ziadi ya wnanchi 5000 kutoka Dar s Salaam wamejitokeza kupima afya zao, zoezi lililoendeshwa na taasisi ya Jakaya Kikwete ya hospitali ya Muhimbili;https://youtu.be/4UnvIrA4Oxg 
 SIMU.TV: Wananchi mkoani Tanga wameanza kunufaika na biogeas ikiwa ni sehemu ya mpango wa taifa kueneza nishati hiyo nchi nzima; https://youtu.be/jWb4endfDNU 
 SIMU.TV: Wananchi Simiyu wapo hatarini kukumbwa na njaa baada ya hekari 1500 za mahindi kuharibiwa na mafuriko; https://youtu.be/6kfda9XhK9Y
 SIMU.TV: Bodi ya mikopo nchini inatarajia kupanua wigo wa kutoa ruzuku kwa wahadhiri wa vyuo kujiendeleza kielemu; https://youtu.be/WZwmNyGwtwo
 SIMU.TV: Viongozi wa UKAWA wameishutumu NEC kuruhusu uchaguzi wa meya kufanyika huku tume ikisisitiza kuheshimiwa kwa uamuzi huo;https://youtu.be/vqnKOS2lcQs  
 SIMU.TV: Viongozi wa CHADEMA wametaka wananchi wa Zanzibar kuamua wenyewe ni kiongozi gani watakaomchagua Machi 20; https://youtu.be/GmxZKezhN48   
 SIMU.TV: Rais Magufuli awatunuku nishani kamisheni maafisa wa jeshi katika chuo cha jeshi kilichopo Monduli, https://youtu.be/PPxyQt54mWQ
 SIMU.TV: Waziri wa nishati na madini Mh.Mhongo ametoa ufafanuzi wa namna pekee ya kufanikiwa katika sekta ya umeme; https://youtu.be/crtlqPmJVQ8  
 SIMU.TV: Simba imefanikiwa kuingia katika mzunguko wa nne katika michuano ya shirikisho baada ya kuichapa Burkinafaso 3-0; https://youtu.be/V0yDvQD6IL4
 SIMU.TV: Wanachama wa Yanga wamevamia ofisi za klabu hiyo kupinga uamuzi wa katibu wa klabu hiyo kumwaga manyanga; https://youtu.be/bBc76M-NU4g
 SIMU.TV: Mchezaji wa zamani wa Patric Viera atamba kuinoa timu yake mpya ya New York City akiwa kama kocha mpya wa timu hiyo; https://youtu.be/JB2zkCsH6f8 
 SIMU.TV:  Wananchi wa Nyarubanda mkoani kigoma wailalamikia serikali kwa kuporwa ardhi yao ambayo ilitengwa kwa ajili ya matumizi ya kijamii:https://youtu.be/L7mG5AKFHow
 SIMU.TV:  Taasisi ya moyo ya Jakaya kikwete inaendelea kufanya vizuri katika zoezi la upimaji wa magonjwa ya moyo kwa wakazi wa kinondoni:https://youtu.be/QQ1ritIdSRs
 SIMU.TV: Waziri wa habari na Sanaa Mh. Nnauye ametoa wito kwa jamii kutumia tamaduni zao ili kuendeleza umoja na mshikamano kwa watanzania:https://youtu.be/gOLvF0OhCLY 
SIMU.TV: Shule ya rufaa  inayochukua wanafunzi wanaofanya vibaya katika masomo yao inaendelea kufanya vizuri katika matokeo yao: https://youtu.be/c3UcHBTLgJs 
SIMU.TV: Rais Magufuli amewatunuku kamisheni maafisa wanafunzi 205 na kuwa wanajeshi wa ulinzi katika jeshi la Tanzania: https://youtu.be/LZSHu11wHKI
 SIMU.TV: Wakazi Zaidi ya 150 katika manispaa ya Musoma wapo hatarini kuhama makazi yao kutokana na Imani za kishirikina : https://youtu.be/sjbeIwlgIpM
 SIMU.TV: Waziri wa ujenzi, uchukuzi na mawasiliano Mh.Mbarawa ameiyagiza mamlaka ya ndege nchini kufanya kazi ili kuongeza pato la taifa:https://youtu.be/8RYJmhEl7PA
 SIMU.TV: Elimu duni ya ushirika ubadhilifu wa fedha na kutoweka bodi makini inasemekana ni chanzo cha kuuwa vyama vya ushirika: https://youtu.be/4Btd1Lwlgko

No comments: