Saturday, January 16, 2016

SIMUTV: HABARI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI


SIMU.TV:  Mwenyekiti CHAUMA Hashim Rungwe aibuka na kuishukia serikali juu ya mgogoro wa kisiasa visiwani Zanzibar; https://youtu.be/TsyuxfBWquA
 SIMU.TV:  Wananchi wavamia na kufanya shughuli za ufugaji katika eneo la hifadhi ya ranchi ya taifa NARCO;  ;https://youtu.be/KC6CVISEF24
 SIMU.TV:  Watumishi watano wa halmashauri ya Shinyanga wasimamishwa kazi kwa ubadhilifu wa fedha za maendeleo za serikali; https://youtu.be/P_Oufa6GPf0
 SIMU.TV:  Wachinjaji  katika machinjio ya Nyarugusi  mkoani  Geita wagoma kutoa huduma kwa madai ya unyanyasaji kutoka kwa afisa mifugo wa eneo hilo;https://youtu.be/vaTx1rlQgfI
 SIMU.TV:  Mvutano mkubwa waibuka kati ya watoa huduma za tiba asili kufuatia kauli ya waziri wa afya, maendeleo ya jamii jinsia wazee na watoto;https://youtu.be/UfuFTyZT3f4   
 SIMU.TV:  Malaria kali yamsababishia  mototo kupata ugonjwa wa utindio wa ubongo na kumfanya  baba wa familia kutelekeza familia mkoani  Arusha;https://youtu.be/n7kMQbPkdZk
 SIM.TV:  Mawakala wawili na watendaji wa serikali za mtaa waswekwa rumande kwa ulaguzi wa pembejeo za kilimo Mtwara; https://youtu.be/J9MI0qKb2rQ
 SIMU.TV:  Mkongwe wa mziki Vital Maembe maarufu kama Sumu ya teja awakosoa wasanii juu ya aina za nyimbo wanazopendelea kuimba;https://youtu.be/AAwOmiSz4VA
 SIMU.TV:  Kiwanda cha sukari Mtibwa kimepigwa faini ya shilingi  milioni 50 kwa kukiuka taratibu za usafi wa mazingira; https://youtu.be/5GrOPnepDy4
 SIMU.TV:  Shirika la umeme TANESCO limeshauriwa kushirikiana na VETA ili kupata wakandarasi watakaotumika kusuka nyaya za umeme katika kutekeleza miradi ya REA;https://youtu.be/0H0TN__yKKo
 SIMU.TV:  Hamisi Kiiza aing’arisha Simba katika mchezo wake dhidi ya timu ya Mtibwa Sugar uliofanyika leo jijinI Dar es Salaam baada ya kuipa kichapo cha 1-0;https://youtu.be/kCCtTKLonTE
 SIMU.TV:  : Mamlaka ya mawasiliano TCRA imevifungia vituo redio na vya televisheni kwa miezi 3 kutokana na kushindwa kulipa tozo za leseni zao.https://youtu.be/XTF9LQMdst0
 SIMU.TV:  Uchaguzi wa Meya na naibu Meya manispaa ya Ilala umekamika baada ya wagombea wa upinzani kushinda nafasi hizo.  https://youtu.be/emXjrIy7Qh4
 SIMU.TV:  Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya Superdoll amesema kampuni yake imeanza mikakati ya kuboresha sekta ya viwanda na ukuzaji wa ajira.https://youtu.be/gHbGQsKa8Ys
 SIMU.TV:  Jumla ya raia 20 kutoka Burundi wamekamatwa wamekamatwa katika mpaka wa Namanga wakijaribu kuingia Kenya wakihofia machafuko ya nchini Burundi.https://youtu.be/NuTorKTAAgY
SIMU.TV:  Wafanyabiashara katika soko la Mwandiga mkoani Kigoma wamekuwa wakikumbwa na adha ya mvua na jua kali kutokana na hali ya miundombinu kutokuwa rafiki. https://youtu.be/FhW1RE-hx6A
 SIMU.TV:  Wanafunzi waliohitimu katika chuo cha Mtakatifu Agustino mkoani Mwanza wameahidi kusaidia kutatua changamoto jamii ya watanzania:  https://youtu.be/7-HkcDHB7wI  
 SIMU.TV:  Watu wawili wametiwa mbaroni wilayani Monduli mkoani Arusha kwa kosa la kukamatwa na meno Tembo yenye thamani ya milioni 65: https://youtu.be/3hgDjES9Dkg
 SIMU.TV:  Majambazi wakamatwa baada ya kuvamia mgodi wa Ibondo wilayani Geita kwa lengo la kuiba kaboni inayotumika katika ukamataji wa dhahabu:https://youtu.be/JEKBFRLKsvYSIMU.TV:  Naibu Waziri wa nchi na mazingira amekitoza faini kiwanda cha sukari baada ya kukiuka sheria na kusababisha uharibifu wa mazingira: https://youtu.be/kVYQQSrTe6k
 SIMU.TV:  Kocha wa timu ya Majimaji awakosoa wachezaji wake kwa kutokuwa makini katika mechi waliyocheza na Coastal Union: https://youtu.be/UttOBO6Ub6I
IMU.TV:   Baada ya vuta nikuvute wenyeji wa timu ya Mbeya city wameibuka kidedea kwa kuifunga timu ya  Mwadui goli moja kwa bila: https://youtu.be/n1xM8KjGFzc 

No comments: