Friday, January 1, 2016

Kandanda Day 2015 yafungua mwaka kwa kukabidhi vitabu na mipira katika kituo cha watoto

Mwenyekiti wa Kamati, Patrick 'Patoo' Dumulinyi, akimkabidhi vitabu na mpira Mlezi wa kituo cha House of Blue Hope, Daudi Mboma. Kulia kwa Patoo ni Bi Fatma Hassan mwakilishi wa TeamDizoMoja na Kushoto kwa Mboma ni Meneja wa TeamIsmail (Mabingwa 2015/16), Ismail Mohammed.
 Picha ya Pamoja na baadhi ya watoto wa Kituo cha House of Blue Hope wakiwa na vitabu na mpira.

 Bi Fatma (Team DizoMoja) akiwa na Msimamizi wa Kituo, Daudi Mbnoma.
 Mwenyekiti wa Kamati, Patrick 'Patoo' Dumulinyi, akimkabidhi vitabu na mpira Mlezi wa kituo cha House of Blue Hope, Daudi Mboma. Kulia kwa Patoo ni Bi Fatma Hassan mwakilishi wa TeamDizoMoja na Kushoto kwa Mboma ni Meneja wa TeamIsmail (Mabingwa 2015/16), Ismail Mohammed.
  Watoto wa kituo cha House of Blue Hope wakifurahia mpira
Moja kati ya watoto wa House of Blue Hope.

No comments: