Wednesday, January 27, 2016

HABARI TV: HABARI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI

SIMU.TV:  Wabunge waichachafya serikali juu ya kusitisha matangazo ya moja kwa moja ya bunge kupitia shirika la utangazaji la umma TBC; https://youtu.be/wly618Wdons 
 SIMU.TV:  Daladala Mwanza waijia juu SUMATRA na kugoma kutoa huduma kutokana na tuhuma za madereva taxi kubeba abiria kwa nauli za daladala;https://youtu.be/bCHPBN4fEl8  
 SIMU.TV:  Waandishi wa habari nchini wamepewa changamoto ya kuelimisha wananchi juu ya faida ya nishati ya gesi asilia; https://youtu.be/psVCkdqNFqc
 SIMU.TV:  Wananchi Tabora wapo hatarini kukumbwa na magonjwa ya mlipuko kutokana na taka kuzagaa kwenye viungo vya mji huo; https://youtu.be/U1KsffdwXWI
 SIMU.TV: Huduma za usafiri wa gari moshi kupitia reli ya kati kuanza kutoa huduma kuanzia mkoani Dodoma ili kupisha ukarabati wa miundombinu ya reli mkoani Morogoro;https://youtu.be/cc9GlLUv-9w
 SIMU.TV:  Wakazi wa Mbagala jijini Dar es salaam huenda wakakosa mawasiliano na manispaa zingine iwapo mamlaka husika haitachukua hatua za haraka kukarabati barabara ya Kilwa; https://youtu.be/YMWCQ_A7hHI
 SIMU.TV:  Baada ya lawama nyingi kutoka kwa wananchi wanaowaongoza, viongozi wa mitaa waamua kutoa yao ya moyoni kufuatia zoezi la bomoabomoa jijini Dar es Salaam;https://youtu.be/tELDxiNV6cg
 SIMU.TV:  Sekta ya kilimo yakiri kuwa mchango wa kilimo bado ni mdogo sana katika kuinua uchumi wa nchi ikilinganishwa na sekta nyingine ; https://youtu.be/bcB41zZl9iw
 SIMU.TV:  ZFA  yakabithi vifaa vya michezo kwa timu mbili visiwanii Zanzibar zitakazoshiriki katika michuano ya vilabu barani Afrika; https://youtu.be/DNlKQIoWb0M   
 SIMU.TV:  Watu sita wafariki dunia baada ya gari walilokuwa wanasafiria kusombwa na maji mpakani mwa Tabora na Katavi; https://youtu.be/Vi-HtIK6ArE   
 SIMU.TV:  Vifo vitokanavyo na uzazi Mbarari Mbeya vyapungua baada ya wananchi kufuata na kuzingatia kanuni kutoka kwa wataalamu wa afya;https://youtu.be/R4eZH90gx3Q
 SIMU.TV:  Wakazi wa Karamba Wilayani Same wameanza kunufaika na mradi wa maji ambao uligharimu serikali Shilling Mil.330; https://youtu.be/aSbuf3wtktE
 SIMU.TV:  Klabu ya Singida United yafanikiwa kuingia katika 16 bora ya michuano ya Shirikisho baada ya kuinyuka Mvuvumwa FC 2:0; https://youtu.be/KliI314QqV4 
 SIMU.TV:  Baada ya timu za Azam na Yanga kuomba kusogezwa mbele michezo yake katika ligi kuu Tanzania bara, Simba yaamua kuishauri TFF;https://youtu.be/UTWA6BNXKdo
 SIMU.TV:  Msikilize Waziri Nape Nnauye akitoa ufafanuzi juu ya urushaji wa matangazo ya moja kwa moja ya mijadala ya bunge; https://youtu.be/3if08jhvF1c  
 SIMU.TV:  Waziri Nape Nnauye akemea vitendo vya wabunge wa upinzani kupotosha umma juu ya urushaji wa matangazo ya bunge; https://youtu.be/enVkuKwsEUU
 SIMU.TV:  Waziri Nape akanusha uvumi ya kwamba serikali inahofia joto la vyama vya upinzani kwa kusitisha urushaji wa matangazo ya moja kwa moja;https://youtu.be/pEoQLPyhFnU
 SIMU.TV:  Waziri wa habari, utamaduni na michezo akijibu maswali ya waandishi wa habari juu a gharama za urushaji wa matangazo ya bunge TBC;https://youtu.be/fM2_h71OgM8
 SIMU.TV:  Wanawake wawili  wa familia mmoja wilayani  ya Geita wauawa kwa sababu za imani za kishirikina; https://youtu.be/m4uPyFyUXYU
 SIMU.TV:  Baadhi ya wabunge wapinga hoja iliyotolewa na waziri wa habari utamaduni sanaa na michezo,Nape Nnauye kuhusu kubadili ratiba ya urushaji matangazo ya bunge moja kwa moja kupitia televisheni ya taifa TBC; https://youtu.be/V53S4kofvUQ
 SIMU.TV:  Halmashauri ya wilaya ya manispaa ya Morogoro yaitaka TAMISEMI kuwarudisha watumishi waliohusika katika uuzaji wa eneo lililopitiwa na bomba la mafuta la TAZAMA kutoa ufafanuzi wa uuza wa eneo hilo;https://youtu.be/hUHYnwWgX14
 SIMU.TV:  Wastaafu wa Hospitali ya Mwambani wilayani Chunya walalamikia kupunjwa mafao kuwa hayalingani na muda waliofanya kazi; https://youtu.be/9OBmxoRxieY
 SIMU.TV:  Mkuu wa shule ya sekondari Mihama mkoani Mwanza matatani kwa tuhuma ya kuwatoza wanafunzi michango; https://youtu.be/k8bCc0oyCCk
 SIMU.TV:  Kampuni ya reli TRL yatangaza kuhamishia shughuli zake kwa muda mkoani Dodoma kupisha ukarabati wa tuta la reli; https://youtu.be/QLwCT5qPwIM
 SIMU.TV:  Vijana nchini watakiwa kutumia vipaji walivyonavyo kujiajiri badala kutegemea kuajiriwa; https://youtu.be/Re52E6vNYAI

No comments: