Friday, January 29, 2016

HABARI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI NCHINI

SIMU.TV: Serikali yaendelea na jitihada za kuwaokoa abiria waliokuwa ndani ya MV Kilombero iliyozama katika mto Kilombero mkoani Morogoro; https://youtu.be/2qeCKjqIH_4

SIMU.TV: Wabunge wa vyama vya upinzani waendelea kususia vikao vya bunge kutokana na bunge hilo kuturushwa moja kwa moja na kituo cha televisheni cha taifa TBC;https://youtu.be/Og_CcZnYRQs

SIMU.TV: Chama cha wananchi CUF chatoa msimamo wake wa kutoshiriki uchaguzi mkuu wa visiwani Zanzibar; https://youtu.be/fj-p4aV3hZ0

SIMU.TV: Bweni la wavulana katika shule ya sekondari Edward Lowasa iliyopo katika wilaya ya Monduli mkoani Arusha lateketea kwa moto usiku wa kuamkia leo;https://youtu.be/SCZIiECvEQ4

SIMU.TV: Baadhi ya wachimbaji wadogo wa dhahabu mkoani Geita wavamia msitu wa Rwamgasa kwa madai ya kwamba dhahabu zinapatikana katika msitu huo;https://youtu.be/IP4gIXtdlXg

SIMU.TV: Serikali mkoani Manyara yaanzisha msako mkali kuwasaka wananchi wanaokiuka agizo la usafi katika kupambana na ugonjwa wa kipindupindu; https://youtu.be/eIt5fpwoIc0

SIMU.TV: Vijana nchini washauriwa kujikita katika kilimo cha zao la Maharage kutokana na soko lake kuwa kubwa hapa nchini; https://youtu.be/CMNKxoGJakk

SIMU.TV: Wakulima nchini washauriwa kulima kwa kutumia teknolojia ya kisasa ya kilimo cha umwagiliaji ili kunufaika zaidi na kilimo; https://youtu.be/sjIblDAVN-k

SIMU.TV: Shirikisho la soka TFF lawaomba radhi wadau wasoka nchini kwa kuiruhusu timu ya Azam kwenda Zambia kushiriki tamasha la michezo; https://youtu.be/QSvyVVBhBUc

SIMU.TV: Kocha Pep Guardiola aweka wazi kinachomuondoa katika klabu yake ya sasa ya Bayern Munich ya nchini Ujerumani; https://youtu.be/JH4P3cR-WtM

SIMU.TV: Wananchi wa Babati wapo hatarini kukumbwa na kipindupindu kufuatia ugonjwa huo kuenea kwa kasi; https://youtu.be/04YDCC06d9w

SIMU.TV: Wakazi waishio maeneo ya mabondeni walazimika kukimbia nyumba zao baada ya maji kujaa kutokana na mvua kubwa iliyonyesha; https://youtu.be/rnemG15I9UQ 

SIMU.TV: TRA,BOT wakutana na wamiliki wa maduka ya fedha ili kupatia ufumbuzi kero za  wafanyabiashara; https://youtu.be/4AFW33RG0JQ

SIMU.TV: Ubovu wa miundombinu katika soko la mitumba Naysho mkoani Musoma wawa chanzo cha soko hilo kuingiza mapato hafifu; https://youtu.be/RYamlM7o79E

SIMU.TV: Baraza la madiwani Bukoba laanza kujisafisha kwa kuwatumbua majipu watumishi 7 kutoka idara mbalimbali kwa ubadhilifu wa mali ya umma; https://youtu.be/iwF18HkQlHI  

SIMU.TV: Waliovamia eneo la ranchi ya taifa Ruvu na kugeuza kuwa kiwanda cha kuchomea mkaa wapewa siku 30;https://youtu.be/6Kv_-65Y7CM

SIMU.TV: Waziri Nape Nnauye amesema serikali ipo tayari kukosolewa na vyombo vya habari bila ya uvunjifu wa sheria; https://youtu.be/H2tlsw3OB0M

SIMU.TV: Benki kuu ya Tanzania yapata gavana mpya baada ya uteuzi wa rais Magufuli kuanzia tarehe 26 Januari; https://youtu.be/0c08FkQyMek

SIMU.TV: Serikali ya China yafanya makubaliano na serikali ya Tanzania kusaidiana katika masuala ya teknolojia na mawasiliano; https://youtu.be/2gMAmhOFWu8

SIMU.TV: Wakulima nchini wamehamasishwa kufanya shughuli za kulima kwa kutumia teknolojia ya umwagiliaji kutokana na urahisi kilimo hicho; https://youtu.be/5XE6IRf3teE  

No comments: