Sunday, December 13, 2015

Tume ya Mipango yatembelea Kiwanda cha Karatasi Mufindi

Magogo ambayo yanasagwa na kuwa vipande vidogo vidogo ambavyo vinasagwa na kuwa karatasi.
Vipande vidogo vidogo vya miti vikiwa katika mkanda (conveyer belt) wa kupeleka kwenye mashine ya kutengeneza karatasi.
Matius Makupa, Meneja wa Kiwanda cha Karatasi cha Mufundi akitoa maelezo juu ya utengenezaji wa karatasi kwa timu ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo waliotembelea kiwandani hapo.
Ujiuji wa karatasi ukiwa ndani ya machine tayari kukaushwa na kuwa karatasi .
1 comment:

Kasian Chang'a said...

It is OK. Is the roll of paper ends up or goes to another machine for white paper in the same factory?