Thursday, December 10, 2015

SIMU TV: HABARI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI

SIMU.TV: Rais John Magufuli atangaza baraza la mawaziri lenye wizara 18, mawaziri 19, na manaibu mawaziri 15; huku akifuta semina elekezi; https://youtu.be/Vb2W-Ak9CWw
SIMU.TV: Baraza la madiwani Manispaa ya Temeke laapishwa huku Chama cha Mapinduzi CCM, kikifanikiwa kushinda kiti cha umeya wa manispaa hiyo.https://youtu.be/ivcCg2mal7Y
SIMU.TV: Madiwani wa manispaa ya Kinondoni jijini Dar es salaam wameshindwa kumchagua Meya wa manispaa hiyo kwa kile kilichodaiwa kuwa ni utata wa wabunge wa viti maalum wa CCM kutoka Zanzibar. https://youtu.be/Lr000I-FOfo
SIMU.TV: Tanzania imeungana na mataifa mengine duniani katika kuadhimisha siku ya haki za binadamu huku serikali ikiwaasa watanzania kuanzisha kampeni maalum ya kukuza maadili mema. https://youtu.be/AX4P0JHycOE
SIMU.TV: Uchaguzi wa Meya wa manispaa ya Ilala waingia dosari baada ya wajumbe waliokuwa wakishiriki uchaguzi huo kuvunja taratibu.https://youtu.be/GTmzMH4XOwc
SIMU.TV: Rais John Magufuli amewataka mawaziri aliowateuwa kuwajibika vilivyo katika nafasi zao za kazi ikiwemo kujiepusha na rushwa; https://youtu.be/-sbE0XUm374

SIMU.TV: Wakazi wa mko wa Dodoma wametoa wito kwa mawaziri walioteuliwa na Rais John Maguli kulinda maadili ya umma; https://youtu.be/BSg82Eijv0A

SIMU.TV: Serikali imesema itapitia upya baadhi ya mikataba na sheria zote zinazoenda kinyume na haki za binadamu hapa nchini https://youtu.be/Zvq3O_vuU4M

SIMU.TV: Wachambuzi wa masuala ya siasa nchini wametoa maoni yao baada ya Rais Magufuli kutangaza baraza la mawaziri hii leo; https://youtu.be/a90yWYP2VsE

SIMU.TV: Jeshi la polisi mkoani Morogoro linawashikilia watu watatu kwa kusafirisha bidhaa aina ya vipodozi kinyume cha sheria; https://youtu.be/qlBAwIGV5Qw

SIMU.TV: Wadau wa madini nchini wamekutana mkoani Arusha kujadili namna ya kuokoa upotevua wa rasimali hiyo ya madini hapa nchini; https://youtu.be/xYok30x-XUI

SIMU.TV: Timu ya Baseball ya mkoani Mwanza imejigamba kuwa itafanya vizuri katika michuano ya baseball itakayofanyika jijini Dar es Salaam;https://youtu.be/gqr82NtJMVc

SIMU.TV: Mshambuliaji wa kimataifa kutoka Ufarasa Olivier Giroud, aibuka shujaa katika klabu yake Arsenal baada ya kuipeleka klabu hiyo hatua ya 16 ya ligi ya mabingwa barani Ulaya; https://youtu.be/V3BSCNTxtYs

SIMU.TV: Wakazi wa jiji la Dar es Salaam wameunga mkono uteuzi wa baraza la mawaziri uliofanywa na Rais John Maguli hii leo; https://youtu.be/0T_0eNF8I74

SIMU.TV: Fahamu zaidi maoni ya wachambuzi wa masuala ya siasa nchini kuhusu baraza la mawaziri alilolitanga Rais John Magufuli hii leo;https://youtu.be/UY38YeMJ2pI
  
SIMU.TV: Makamu wa Rais Samia Suluhu amesema serikali itaendeleza mapambano dhidi ya watu wanaoua watu wenye ulemavu wa ngozi (Albino);https://youtu.be/2z83KJ2Weds

SIMU.TV: Kampuni ya simu ya Millicom Afrika imenunua hisa asilimia 85 kutoka kampuni ya simu za mikononi ya Zantel; https://youtu.be/pgv4UGwSYRQ

SIMU.TV: Ushirika wa viwanda vidogo mkoa wa Dar es Salaam umepitisha bajeti ya shilingi milioni 430 kwa mwaka 2016; https://youtu.be/g_LOO7pzLfc
SIMU.TV: Mbunge wa Mtama na waziri mteule wa Habari Michezo na Utamaduni, Mhe. Nape Nnauye amelezea mikakati yake ya kundeleza michezo nchini;https://youtu.be/4J5QsEGkHDY

SIMU.TV: Inaelezwa kwa Makamu wa Rais Mhe.Samia Suluhu anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika tamasha la kumshukuru Mungu likatalofanyika mwezi huu jijini Dar es Salaam; https://youtu.be/XJzRHv_bmNU
SIMU.TV: Baadhi ya wananchi watoa maoni yao juu ya baraza la Mawaziri muda mchache mara tu baaada ya kutangazwa na Rais Magufuli.https://youtu.be/OC1Zp0pv2JA

SIMU.TV: Baadhi ya wakazi wilayani Tarime wampongeza rais Magufuli kwa kuteua baraza dogo la mawaziri huku wengine wakipongeza kuteuliwa kwa Sospeter Muhongo. https://youtu.be/h78z1aIH_8A

SIMU.TV: Katibu mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue asema Serikali ya awamu ya tano haitovumilia kuona maadili ya utumishi wa umma yanaporomoka huku yakichangiwa na vitendo vya rushwa. https://youtu.be/zz_2ScDne7o
SIMU.TV: Makamo wa rais Bi.Samia Suluhu asema Tanzania bado inakabiliwa na janga kubwa la ukatili na unyanyasaji vitu vinavyoashiria ukiukwaji wa haki za binadamu.https://youtu.be/I_sX3QPooBk

SIMU.TV: Katibu mkuu wizara ya Afya na ustawi wa jamii Dkt. Donald Mbando autaka uongozi wa hospitali ya rufaa kanda ya Mbeya kutenga fedha za kukamilisha ujenzi wa jengo la vipimo vya CT SCAN na MRI. https://youtu.be/WMEgCZllMGk

SIMU.TV: Baadhi ya wananchi katika halmashauri ya Tarime wawaomba madiwani wao kutatua kero mbalimbali amabazo zimekuwa sugu katika maisha yao.https://youtu.be/tCyJYnb-mc0

SIMU.TV: Tafurani zaibuka katika manispaa ya Kinondoni na Ilala na kupelekea kushiondwa kufanya chaguzi kufuatia  dosari na vurugu zilizojitokeza katika upigaji kura. https://youtu.be/sfHh2_MK68E

No comments: