Sunday, December 20, 2015

MAHAFALI YA KUMI NA MOJA CHUO KIKUU CHA TAIFA CHA ZANZIBAR "SUZA"

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar SUZA Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatama na Viongozi wakuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar katika maandamano wakati wa mahfali ya kumi na moja ya mwaka 2014/2015 yaliyofanyika leo chuoni hapo Tunguu wilaya ya kati Unguja.
Baadhi ya wajumbe wa Bodi ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar na Viongozi wengune wakiwa katika maandamano wakati wa mahfali ya kumi na moja ya mwaka 2014/2015 yaliyofanyika leo chuoni hapo Tunguu wilaya ya kati Unguja mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar SUZA Dk.Ali Mohamed Shein.
Baadhi ya Wazee na Ndugu wa wanafunzi waliohitimu masomo mbali mbali ya Shahada,Stashahada na Vyeti wakiwa katika mahfali ya kumi na moja ya mwaka 2014/2015 Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar SUZA yaliyofanyika leo Tunguu wilaya ya kati Unguja,ambapo mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar SUZA Dk.Ali Mohamed Shein.
Baadhi ya Wazee na Ndugu wa wanafunzi waliohitimu masomo mbali mbali ya Shahada,Stashahada na Vyeti wakiwa katika mahfali ya kumi na moja ya mwaka 2014/2015 Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar SUZA yaliyofanyika leo Tunguu wilaya ya kati Unguja,ambapo mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar SUZA Dk.Ali Mohamed Shein.
Viongozi mbali mbali wakiwemo mabalozi wa Nchi za Nje wakiwa katika mahfali ya kumi na moja ya mwaka 2014/2015 Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar SUZA yaliyofanyika leo Tunguu wilaya ya kati Unguja,ambapo mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar SUZA Dk.Ali Mohamed Shein.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar SUZA Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa na Viongozi wakuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar katika mahfali ya kumi na moja ya mwaka 2014/2015 chuoni hapo Tunguu wilaya ya kati Unguja.
Viongozi mbali mbali wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar walioalikwa katika mahfali ya kumi na moja ya mwaka 2014/2015 Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar SUZA yaliyofanyika leo Tunguu wilaya ya kati Unguja,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar SUZA Dk.Ali Mohamed Shein wakati akiwatunuku wahitimu Shahada,Stashahada na Vyeti.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar SUZA Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) kwauwezo aliopewa alipokuwa akiwatunuku Stashahada katika mahafali ya kumi na moja ya mwaka 2014/2015 Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar SUZA leo Tunguu Wilaya ya Kati Unguja(kulia) Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo Bw.Said Bakari Jecha na Makamo Mkuu wa Chuo Prof Idriss Rai.
Wahitimu wa Shahada ya Kiswahili na Elimu wakiwa katika mahfali ya kumi na moja ya mwaka 2014/2015 Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar SUZA yaliyofanyika leo Tunguu Wilaya ya Kati Unguja,mgeni Rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar SUZA Dk.Ali Mohamed Shein.
Wahitimu wa Shahada ya Sanaa na Elimu wakiwa katika mahfali ya kumi na moja ya mwaka 2014/2015 Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar SUZA yaliyofanyika leo Tunguu Wilaya ya Kati Unguja,mgeni Rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar SUZA Dk.Ali Mohamed Shein
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar SUZA Dk.Ali Mohamed Shein akimtunuku Shahada ya Uzamili ya Sayansi katika kemia "Master of Science in Chemistry" ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar mhitimu Aflah Abeid Khamis wakati wa mahfali ya kumi na moja ya mwaka 2014/2015 Tunguu wilaya ya kati Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar SUZA Dk.Ali Mohamed Shein akimtunuku Shahada ya Uzamili ya Sayansi katika kemia "Master of Science in Chemistry" ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar mhitimu Fatma Shomari Juma wakati wa mahfali ya kumi na moja ya mwaka 2014/2015 Tunguu wilaya ya kati Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar SUZA Dk.Ali Mohamed Shein akimtunuku Shahada ya Uzamili ya Sayansi katika kemia "Master of Science in Chemistry" ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar mhitimu Hadia Makame Juma wakati wa mahfali ya kumi na moja ya mwaka 2014/2015 Tunguu wilaya ya kati Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar SUZA Dk.Ali Mohamed Shein akimtunuku Shahada ya Uzamili ya Sayansi katika kemia "Master of Science in Chemistry" ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar mhitimu Khamis Makame Said wakati wa mahfali ya kumi na moja ya mwaka 2014/2015Tunguu wilaya ya kati Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar SUZA Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake katika sherehe ya mahfali ya kumi na moja ya mwaka 2014/2015 yaliyofanyika leo katika kampasi ya Chuo Tunguu wilaya ya kati Unguja.

No comments: