Saturday, December 19, 2015

LONGHORN PUBLISHERS WAKIZINDUA KAMUSI KUU YA KISWAHILI KUTOKA BAKITA

 Mgeni rasmi mkuu wa mkoa wa Mwanza Mh. Magesa Mulongo akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Kamusi ya kiswahili huku akishuhudiwa na mwenyekiti wa TAHOSSA Taifa Bonus Ndimbo katika ghafla iliyofanyika kwemye mkutano mkuu wa TAHOSSA jijini Mwanza.
 Mgeni rasmi akiwaonyesha wakuu wa shule nchini (hawapo pichani) kamusi kuu ya kiswahili aliyoizindua, kushoto ni muhariri mkuu wa kamusi hiyo James Mwilaria
 Mkuu wa mkoa wa Mwanza Mh. Masesa Mulongo akisaini kitabu cha wageni mara
baada ya kutembelea banda la Longhorn Publishers Ltd.
 Meneja mauzo na msimamizi wa matangazo wa Longhorn Publishers Ltd Deisy Rono akimuonesha mgeni rasmi baadhi ya machaisho yao.
 Mkuu wa mkoa wa Mwanza Mh. Magesa Mulongo akikagua moja ya kitabu cha
civics kilichochapishwa na Longhorn Publishers Ltd mara baada ya
kutembelea banda lao.
 Mkuu wa mkoa wa Mwanza  akipokea zawadi ya baadhi ya machapisho  kutoka kwa mwakilishi wa Longhorn Publishers Limited.

Mgeni rasmi Mkuu wa mkoa wa Mwanza Magesa Mulongo katika picha ya pamoja na wawakilishi kutoka BAKITA, Longhorn Publishers na TAHOSSA.
 Mwenyekiti wa TAHOSSA Taifa Bonus Ndimbo (kulia)pamoja na meneja mauzo na msimamizi wa matangazo wa Longhorn Publishers Deisy Rono (kushoto)wakisikiliza hotuba ya mgeni rasmi (hayupo pichani)katika ghafla ya uzinduzi wa kamusi ya kiswahili iliyofanyika katika mkutano mkuu
wa kumi wa TAHOSSA jijini Mwanza.
 Meneja wa uhariri wa uhariri wa Longhorn Ltd James Mwilaria akitoa neno wakatiwa uzinduzi wa kamusi kuu ya kiswahili iliyoandaliwa na BAKITA.
 Mgeni rasmi Mkuu wa mkoa wa Mwanza Mh. Magesa Mulongo akihutubia
wakati wa uzinduzi huo uliofanyika jijini Mwanza.
 Baadhi ya wakuu wa shule za Sekondari nchini walioshuhudia uzinduzi huo watikamkutano mkuu wa TAHOSSA ulifanyika jijini Mwanza.

No comments: