Tuesday, December 15, 2015

FURSA KWA WANAWAKE WA KITANZANIA, NJOO UJIAJIRI MWENYEWE NA JIKOMBOE SASA

 
Wanawake wa Kitanzania  Miliki Biashara yako sasa.Njoo upate elimu ya Biashara kisha Ujiajiri na kukuza Kipato chako mwenyewewe.Jiandikishe kuwa mshiriki wa Manjano Dream-makers na kuingia katika Tasnia ya Vipodozi nchini kwa kujiongezea kipato kupitia kipodozi pendwa cha LuvTouch Manjano. 
Washiriki watakaochaguliwa watapata mafunzo yenye ueledi wa biashara na ujasiriamali pamoja na jinsi ya kupamba, yaani Professional Makeup-up artist BURE! Application deadline ni tarehe 24 December 2015! 
LuvTouch Manjano ni kipodozi cha kwanza kuzinduliwa nchini Tanzania (Makeup line) na imependwa na wanawake wengi nchini. Jiongezee kipato kwa kuwa mmoja wa washiriki kwa kuweza kuuza bidhaa zako katika eneo unaloishi huku ukiwa mtaalam vile vile wa kuwapamba wateja wako katika ubora wa uhakika. 
Tuma maombi yako kwa kujaza form iliyoandikwa ‘Participant Form’ kwenye tovuti ya Manjano Foundation www.manjanofoundation.org au leta maombi yako kwa mkono katika ofisi zetu za Manjano Foundation zilizopo Kijitonyama, jengo la Millennium Towers gorofa ya kwanza.
Mafunzo haya yatatolewa kwa wanawake 30 kwa mikoa mitano (jumla wanawake 150) tu katika maeneo na tarehe zifuatazo;

MANJANO DREAM-MAKERS TRAINING TIMETABLE

1. Dar es Salaam – Tarehe: January 4 - 8, 2016

2. Mwanza – Tarehe: January 18 - 22, 2016

3. Zanzibar – Tarehe: February 1 – 5, 2016

4. Kilimanjaro – Tarehe: February 15 - 19, 2016

5. Dodoma – Tarehe: March 7 – 11, 2016 
Apply now to become a LuvTouch Manjano representative and enjoy financial independence! Sign up now by filling the form titled ‘Participant Form’ at our website http://www.manjanofoundation.org @luvtouchmanjano  

@shearillusionsafrica 

Kwa Maelezo Zaidi Tembelea Manjano Foundation

No comments: