Monday, November 16, 2015

SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI

Watu wawili wamefariki kwa kufukiwa na kifusi cha mchanga wilayani Bukoba Mkoa wa Kagera; https://youtu.be/KqrB0oI2OOI
     
Wakulima wa zao la vitunguu Swaumu mkoani Iringa wamelalamikia ukosefu wa soko la uhakika kwa mazao yao; https://youtu.be/un_gLSrWjc8
   
Kocha mkuu timu ya Tanzania bara Kilimanjaro Stars, Abdalah Kibadeni ametaja majina ya wachezaji watakaenda Ethiopia kushiriki kombe la Challenge;https://youtu.be/5KodOs4GbgY
  
Aliyekuwa mshauri wa ndani ya klabu ya Ajax ya Uholanzi,Bwana Johan Cruyff ajiuzulu wadhifa wake ndani ya klabu hiyo; https://youtu.be/yplk4ARaTDk
   
Baraza la biashara mkoani Tanga limeshauriwa kuboresha mazingira ya biashara ili kusaidia kukua kwa biashara mkoani humo; https://youtu.be/dqdzf8XHRf8
   
Baraza mitihani la Taifa NECTA larudisha mfumo wa kuchuja wanafunzi wa kidato cha pili na darasa la nne nchini. https://youtu.be/oysgFBjlk_c
    
Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM Nape Nauye azungumzia juu ya mchakato wa kumpata naibu Spika. https://youtu.be/CIh6kHbw_Fk
  
Aliyekuwa makamo mwenyekiti wa CCM na waziri mkuu mstaafu,John Malecela azungumza na kutoa tathimini ya uundaji wa serikali. https://youtu.be/m7CGSEZ9IGU
Wabunge wa bunge lijalo la 11 leo hii wamekamilisha taratibu za usajili ili kuweza kushiriki bunge lijalo linalo tarajiwa kuwanza kesho. https://youtu.be/755a7hH7uEk
  
Mgombea wa CCM jimbo la Lulindi mkoani Mtwara aibuka kidedea katika uchaguzi uliofanyika hapo jana. https://youtu.be/OQtZ3o_3A98
Baraza la wanawake la chadema Zanzibar laanza kufunga ofisi za chama hicho visiwani humo kupinga walichokiita unyonyaji kwa kupinga uteuzi viti maalum.https://youtu.be/PaZIvUI3jjQ
Hospitali ya taifa ya Muhimbili kwa mara nyingine tena yasitisha matumizi ya mashine ya MRI baada ya kuharibika kwa mara nyingine tena; https://youtu.be/REJmm34R4zw
  
Mabaraza ya biashara ya wilaya yatakiwa kutumika kutatua changamoto za biashara zinazoikabili jamii ili kuinua maisha na kipato cha jamii husika;https://youtu.be/XeiodfZ69nk
  
Wakazi wa eneo la Shimo la udongo wajikuta wakikosa mahali pa kuishi baada ya Manispaa ya Temeke kutekeleza zoezi la bomoa bomoa. https://youtu.be/D-dqGur7Fic

No comments: