Mkurugenzi wa Elimu ya Ufundi na Ufundi Stadi Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Thomas Katebalilwe akihutubia kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Sifuni Mchome, aliyekuwa mgeni rasmi katika mahafali ya 10 ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Dar es Salaam leo asubuhi.
Mkuu wa chuo hicho, Profesa Shadrack Mwakalila akielezea mafanikio ya chuo.
Mkurugenzi wa Elimu ya Ufundi na Ufundi Stadi Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Thomas Katebalilwe (wa pili kushoto), akimkabidhi cheti kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Sifuni Mchome, mwanafunzi, Benard Nyoni, aliyefanya vizuri katika masomo yake wakati wa sherehe za mahafali ya 10 ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA), Dar es Salaam leo. Kutoka kushoto ni Mkuu wa chuo hicho, Profesa Shadrack Mwakalila na Kaimu Mwenyekiti ya Bodi ya chuo, Evelyne Makalla.
Mkurugenzi wa Elimu ya Ufundi na Ufundi Stadi Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Thomas Katebalilwe (wa pili kushoto), akimkabidhi cheti kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Sifuni Mchome, mwanafunzi, Godfrey Nchimbi aliyefanya vizuri katika masomo yake wakati wa sherehe za mahafali ya 10 ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA), Dar es Salaam leo asubuhi. Kutoka kushoto ni Mkuu wa chuo hicho, Profesa Shadrack Mwakalila, Kaimu Mwenyekiti ya Bodi ya chuo, Evelyne Makalla na Rais wa Serikali ya Wanafunzi (MASO), Elias Kumanya.
Wahitimu wa ngazi ya cheti, stashahada na shahada ya kwanza waliofanya vizuri katika masomo yao wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kukabidhiwa vyeti na Mkurugenzi wa Elimu ya Ufundi na Ufundi Stadi Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Thomas Katebalilwe kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Sifuni Mchome, wakati wa sherehe za mahafali ya 10 ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA)
Meza kuu ilivyokuwa ikionekana kwenye mahafali hayo.
Mkurugenzi wa Elimu ya Ufundi na Ufundi Stadi Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Thomas Katebalilwe (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa chuo hicho, Profesa Shadrack Mwakalila (kushoto), na Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya chuo, Evelyne Makalla katika mahafali hayo.
Brass Bendi ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) ikiongoza maandamano wakati wa mahafali hayo.
Mgeni rasmi na viongozi wengine wakiongoza maandamano kuelekea eneo la sherehe.
Wahitimu wa ngazi ya cheti, stashahada na shahada ya kwanza wakiwa katika sherehe za mahafali ya 10 ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA), yaliyofanyika Dar es Salaam.
Wanafunzi wenzao wakiwapongeza watangulizi wao kwa kuhitimu.
Brass Bendi ya JKT ikitoa burudani katika mahafali hayo.
Wahadhiri wa chuo hicho wakiwa katika mahafali hayo.
Wageni waalikwa wakijumuika katika sherehe hiyo.
Hapa ni kazi tu
Wadau mbalimbali wakiwa kwenye mahafali hayo.
Wahitimu wakiwa kwenye mahafali hayo.
Wahitimu wakiwa kwenye mahafali hayo.
Wahitimu wakiwa kwenye mahafali hayo.
Wahitimu waliofanya vizuri masomo yao wakiwa katika icha ya pamoja na meza kuu.
Wahitimu wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi.
Hiyo ni furaha tupu ya kuhitimu.
(Imeandaliwa na mtandao wa www.habari za jamii.com.
(Imeandaliwa na mtandao wa www.habari za jamii.com.
No comments:
Post a Comment