Kusajiliwa wastaafu wa jeshi.
Ofisa Uendeshaji wa Shirika la Taifa
la Hifadhi ya Jamii (NSSF),mkoa wa Morogoro, Abdul Mzee ( kushoto) akichukua
alama ya vidole kwa Mwanachama wa Muungano wa wanajeshi wastaafu Tanzania (MUWAWATA),
Luteni mstaafu, Josephat Mtema, sept 13, mwaka huu ,ili kujiunga na NSSF kwa mfumo
wa kuchangia kwa hiari kwa ajili ya kunufaika
na huduma za mfuko huo ikiwa na matibabu wakati walipokuwa katika mkutano wa
kawaida wa siku mbili uliofanyika Bwalo la Umwema ,mjini Morogoro.
Wastaafu wa jeshi katika picha ya pamoja.
No comments:
Post a Comment