Mwalimu
wa masomo ya Sayansi wa shule ya sekondari ya Mtakuja iliyopo Kunduchi
Mbezi beach jijini Dar es Salaam, Elibariki John akiwaelekeza wanafunzi
wa kidato cha pili, Jacqueline James(kushoto)
na Ibrahim Juma wa shule hiyo jinsi ya kutafuta taarifa za maarifa ya
masomo ya sayansi kwa njia ya kompyuta mpakato zilizotolewa msaada na
Vodacom Foundation miezi mitatu iliyopita kupitia mradi wake wa kompyuta
mashuleni unaoendeshwa na Learning In Sync.
Baadhi
ya wanafunzi wa kidato cha pili wa shule ya sekondari ya Mtakuja
iliyopo Kunduchi Mbezi beach jijini Dar es Salaam, wakiendelea kujifunza
masomo mbalimbali
kupitia kompyuta mpakato zilizotolewa msaada na Vodacom Foundation
miezi mitatu iliyopita kupitia mradi wake wa kompyuta mashuleni
unaosimamiwa na Learning In Sync.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgoNnavCDylbBPXnyzwrwONkVOgidih2kjNu0w6d_k4l-WprD5dJ_I6s0c86NwxEUrO9JxD1SzHU7SLrCNYaiSJiQNGOZfcqd8DN5OgEdXnk2gCeAkFrHmLxEJg3nyUAc5kLpg6JkcnCCc/s640/005.MTAKUJA.jpg)
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi9jh4-VJQOQ4na5XQ2DSZP18SecYo-NeyDQCfRwMAEJtlUHl82Kl5zGtLNarsEe4QZQNEynqkyv9cKYse0Q7BRUEHki4NPkj1X8Aw7j1Xm7qoFsM8ZRSVOwVKKVO4yyL8MzKcyO3t_adg/s640/006.MTAKUJA.jpg)
No comments:
Post a Comment