Monday, September 14, 2015

SIMU TV: Habari kutoka vituo vya televisheni


jeshila la polisi Mkoani Kigoma limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 5 wa ujambazi wakiwa na zana za uvuvi walizopora.https://youtu.be/f_ujR6Jq5aU

Katika hali ya kusikitisha watu 5 wafariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya gari walilokuwa wamepanda kupinduka mkoani Ruvuma. https://youtu.be/kPuZui08leI

Mgombea mwenza wa CCM Samia Hassan,awaahidi wakazi wa Lindi kuboresha huduma za jamii na kilimo cha koroshohttps://youtu.be/fvQJpCfQgDw

Madereva wa magari ya abiria jijini Mbeya watishia mgomo hapo kesho kushinikiza Polisi kumuachia Dereva mwenzao .https://youtu.be/GwqrRAtJoTY

Tume ya haki za binadamu yasikitishwa na vurugu na vifo vya watu wakati wa kampeni za uchaguzi huku ikiviasa vyama kufuata sheria na taratibu. https://youtu.be/XjCsZakHDAY

Wakazi wa Kigamboni wakumbana na adha ya usafiri baada ya kivuko kuhabirika na kusababisha adha kubwa kwa wasafiri.https://youtu.be/d9Tcr1mdaLA

Wadau mbalimbali wavitaka vyama vya siasa kujumuisha haki za watoto walemavu katika ilani zao za uchaguzi.https://youtu.be/lX8R52juJYs

Raisi Kikwete aonya kuwa uchaguzi wa mwaka huu ni mgumu kwa vyama vyote huku akihimiza viongozi wa ccm wanafanya kampeni za kutosha. https://youtu.be/IiKLObQBhtc

Chama cha ACT wazalendo chawataka wananchi kujitokeza na kusikiliza sera za vyama badala ya kufanya ushabiki.https://youtu.be/FoDCBIKKkfc

Chama cha madaktari wananwake nchini MEWATA kimewashauri wanawake nchini kujenga tabia ya kuchunguza afya zao mara kwa mara https://youtu.be/fEcyJMjAVCU

Mgombea uraisi wa CCM Dr.Magufuli ahaidi kuwapatia wachimbaji wadogo wadogo vifaa vya kuchimbia madini Mkoani Shinyanga.https://youtu.be/a_q5nmH005I

No comments: