Mgombea uraisi wa CCM Dr.Magufuli, Ahaidi kuborsha na kuinua zao la Korosho baada ya kuwahutubia wana Mtwara.http://youtu.be/ 7n81Qyb07qk
Makamo wa raisi Dr. Bilali,awataka wataalamu wa manunuzi ya umma Afrika Mashariki kuwa lugha moja ili kuweka uwazi.http://youtu.be/b81gZ_ ssffA
Chama cha Chauma chazindua kampeni zake za uraisi huku viongozi wajuu wa chama hicho wakihaidi tumaini jipya kwa watanzania.http://youtu.be/jL- oBZnqVbo
Raisi wa Zanzibar asema kuna umuhimu mkubwa wa kuenzi na kutunza kumbukumbu ya mnara wa miaka 50 ya uhuru.http://youtu.be/ jyMmlY4KA70
Wanahabari nchini waadhimisha kumbukumbu ya kifo cha mwandishi wa habari Daudi Mwangosi huku rai mbalimbali zikitolewa
Mfanya biashara maarufu nchini Rostam Azizi ajibu tuhuma za kumtishia maisha Dr.Slaa huku akimtaka Dr.Slaa kutoa ushahidi na Kumwogopa Mungu
Mgombea uraisi wa CCM Dr.Magufuli, Ahaidi kuborsha na kuinua zao la Korosho baada ya kuwahutubia wana Mtwara. http://youtu.be/vrIE53O5D1o
Mwenyekiti CHADEMA Freeman Mbowe amjia juu Dr.Slaa huku akisema chama hicho hakito yumba kwani ni mali ya wananchi.https://youtu.be/ lHv7mcoYyLU
Rangi zenye madini ya risasi zaelezwa kuwa na athari kubwa kwa watoto huku karibia nusu ya rangi za majumbani huwa na madini hayo.https://youtu.be/5tdy- omw2j4
Masheikh wa Tanzania waliokuwa wametekwa Congo na waasi hatimaye waachiwa huru huku ikiripotiwa hakuna dhamana yeyote iliyo tolewa.https://youtu.be/ XtTNyoj7toI
Mgombea Mwenza wa Chama cha Mapinduzi Bi.Samia Suluhu anatarajiwa kuanza ziara ya kampeni katika majimbo yote ya Mkoa wa Dar es salaam.http://youtu.be/ PMiBFTXmcsk
Baadhi ya vijana wanao muunga mkono Dr. Slaa mkoani Mwanza waandamana na huku wakichoma bendera za chadema na kuchana kadi za chama hicho.http://youtu.be/Et6Cg_ xdN7I
Vurugu kubwa zaibuka kwenye Mkutano wa CCM wilayani Mikumi baada ya wafuasi wa Ukawa kuvamia mkutano huo.http://youtu.be/XGWA_ lKlUAQ
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam asema idadi ya watu waliokufa kutokana ana kipindupindu yafikia 10 huku wagonjwa zaidi ya 600 wakilazwa.http://youtu.be/ oJHxtjBC7LA
TANESCO na TEMKO zaungana ili kuongeza uwezo na juhudi za pamoja katika uangalizi wa uchaguzi na kampeni nchini.http://youtu.be/ kJfK9Qtn0ZU
Vijana takribani 100 waliokuwa wakiishi nchini Afrika Kusini kinyume cha sheria warejeshwa nchini.http://youtu.be/PZv- qf3iekU
No comments:
Post a Comment