Tuesday, September 8, 2015

NITASIMAMIA SHERIA KWA KUWAWAJIBISHA WATAKAO PINDISHA SHERIA KWA MANUFAA YAO-DKT MAGUFULI

 Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli(katikati) akiwanadi Mbunge wa Handeni Mjini Dk. Abdallah Kigoda (kulia) na Mgombea wa Ubunge Jimbo la Handeni Vijijini Ndugu Mboni Mhita kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uliofanyika kwenye uwanja wa Azimio Center.

Wakati kampeni za kuwania Urais,Ubunge na Udiwani zikidizi kushika kasi nchini,Mgombea urais kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi CCM Dkt John Pombe Magufuli,amesema atasimamia utawala wa sheria kwa kuwawajibisha wale wote wanaopindisha sheria kwa faida yao.

Magufuli aliyepewa jukumu la kuipeperusha bendera ya chama cha Mapinduzi,katika ngazi ya urais,amesema utawala wake hautakuwa na simile na wanaopoka haki za wanyonge,amesema kuwa ni jambo lisilokubalika kuona haki za wanyonge zikipokwa na matajiri wachache na kuelezea kuwa atawashughulikia kwa mujibu  sheria zilizopo.
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akisoma bango la vijana wafanya biashara ndogo ndogo wa eneo la Dumila maarufu kama Feri wakati akielekea mkoani Tanga ikiwa muendelezo wa mikutano ya kampeni za CCM .

Tea Magufuli ya Handeni nayo ilikuwepo kuwahamasisha wananchi wampigie kura ya ushindi Dkt Magufuli,kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Kigoda.
Wananchi wa Handeni wakishangilia jambo kwenye mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika kwenye uwanja wa Azimio Center mkoani Tanga.
 Wananchi wanaoishi eneo la Dumila wakimsikiliza Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli
 Wananchi wanaoishi eneo la Magore wilyani Mvomero wakimsikiliza Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufulialipokuwa akipita kuwasalimia akaielekea wilayani Kilindi na Handeni ambapo alifanya mikutano yake ya kampeni
Wananchi na Mabando yao.
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akimnadi mgombea wa ubunge jimbo la Mvomero Sadiq Murad kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika Mvomero, mkoani Morogoro.

 Wakazi wa Turiani mkoani Morogoro wakimsikiliza Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufulikwenye mkutano wa kampeni.
 Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Turiani mkoani Morogoro na kuwaambia atahakikisha migogoro ya ardhi inamalizika na kuileta jamii kuishi kwa amani na upendo.
Wakifuatilia mkutano wa kampeni ndani ya Mvomero 
Wanafuatilia mkutano wa kampeni wa Dkt Magufuli wilayani Turiani.
Baadhi ya Wananchi waliokuwa kwenye mnada wakimsikiliza mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli alipokuwa akielekea wilaya ya Kilindi na Handeni kuwahutubia wananchi kwenye mikutano yake ya kampeni.
Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa wasili katika kijiji cha Muheza-Masagala akielekea wilayani Handeni kuwahutubia wananchi katika mkutano wa kampeni
Baadhi wananchi wa kijiji cha Vyadigwa wakimsikiliza Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli (hayupo pichani) alipowahutubia wakazi wa kijiji hicho wilayani Kilindi
Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwasili katika kijiji cha Muheza-Masagala akielekea wilayani Handeni kuwahutubia wananchi katika mkutano wa kampeni
Baadhi wananchi wa kijiji cha Mziha wilayani Kilindi wakimsikiliza Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli (hayupo pichani) alipowahutubia wakazi wa kijiji hicho wilayani Kilindi
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Songe ambapo aliwaambia wananchi hao katika uongozi wake atasimamia haki kwa wananchi wote na kuhakiisha huduma zote za msingi zinapatikana.

 Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akimnadi mgombea ubunge jimbo la Kilindi Omari M. Kigua wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika Kwaluguru
Wananchi wa Handeni wakishangilia jambo kwenye mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika kwenye uwanja wa Azimio Center mkoani Tanga.

No comments: