Monday, September 7, 2015

MAWAKALA WA VODACOM TANZANIA WAPIGWA MSASA KUTOA HUDUMA BORA KWA WATEJA

 Mkuu wa Kitengo cha M-Pesa wa Vodacom Tanzania, George Kagaruki akitoa mafunzo kwa Mawakala wa M-Pesa wa kanda ya Mbagala jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Wakati wa Semina iliyoandaliwa na Kampuni hiyo kwa ajili ya mawakala hao kujifunza jinsi ya kutoa na kuboresha huduma  za kifedha, kuepukana na  udanganyifu wa kifedha na jinsi ya  kupata faida zaidi kwa kuuza Vodafasta (muda wa hewani) na kuunganisha wateja wa kampuni hiyo kwa kutumia huduma ya M-Pawa.
 Wakufunzi wa Semina ya Mawakala wa Vodacom Tanzania, kanda ya Mbagala jijini Dar es Salaam wakiwa kwenye Semina iliyoandaliwa na Kampuni hiyo kwa ajili ya mawakala hao kujifunza jinsi ya kutoa na kuboresha huduma za kifedha, kuepukana na  udanganyifu wa kifedha na jinsi ya  kupata faida zaidi kwa kuuza Vodafasta (muda wa hewani) na kuunganisha wateja katika huduma ya M-Pawa.
 Mkufunzi wa Semina ya Mawakala wa Vodacom Tanzania, kanda ya Mbagala jijini Dar es Salaam, John Mahingwa akiuliza swali wakati wa Semina hiyo  iliyoandaliwa na Kampuni hiyo kwa ajili ya mawakala hao kujifunza jinsi ya kutoa na kuboresha huduma za kifedha, kuepukana na  udanganyifu wa kifedha na jinsi ya  kupata faida zaidi kwa kuuza Vodafasta (muda wa hewani) na kuunganisha wateja katika huduma ya M-Pawa.
  Meneja Mauzo wa Vodacom Tanzania, Kanda ya Mbagala jijini Dar es Salaam, akifafanua jambo kwa Mawakala wa kampuni hiyo waliohudhuria katika Semina  iliyoandaliwa na Kampuni hiyo kwa ajili ya mawakala hao kujifunza jinsi ya kutoa na kuboresha huduma za kifedha, kuepukana na  udanganyifu wa kifedha na jinsi ya  kupata faida zaidi kwa kuuza Vodafasta (muda wa hewani) na kuunganisha wateja katika huduma ya M-Pawa.

No comments: