Mgeni
Rasmi Mhandisi Michael Mrema akitoa hotuba kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa
Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo wakati wa mahafali ya nne ya kuwaaga
wanafunzi wa shule ya Msingi Genius King’s iliyopo jijini Dar es salaam
iliyofanyika hivi karibuni shuleni hapo.
Baadhi ya wazazi na walezi wakifuatilia hafla ya kuwaaga Wahitimu wa darasa la saba kutoka shule ya Msingi Genius King’s iliyopo jijini Dar es salaam hivi karibuni.
Wanafunzi
wakitumbuiza kwa michezo mbalimbali wakati wa mahafali ya nne ya
kuwaaga wanafunzi wa shule ya Msingi Genius King’s iliyopo jijini Dar es
salaam.
No comments:
Post a Comment