Mke wa Rais Mama Salma
Kikwete akimfariji Mke wa Waziri Mkuu, mama Tunu Pinda (kuhosto) ambaye
alifiwa na Mama yake , Hajjat Pili Mlolwa Rehani, nyumbani wa marehemu,
Tanata Magengeni jijini Dar es salaam Septemba 17, 2015. Kuliani Mama
Hasina Kawawa.
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akiwa na Waziri wa Maendeleo ya
Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba Wapili kushoto na Mama Hasina
Kawawa waliokwenda kumfariji kufuatia kifo cha Hajjat Pili Mlolwa
Rehani,Mama wa Mama Tunu , nyumbani kwa Marehemu, Tabata Magengeni
jijini Dar es salaam Septemba 17, 2015.
Baadhi ya waomboezaji walioshiriki katika mazishi ya Hajjat Pili
Mlolwa Rehani, Mama Mzazi wa mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda,
nyumbani kwa marehemu jijini Dar es salaam, Septemba 17, 2015.
Makamu wa
Rais,Dkt. Mohamed Bilal akimfariji mke wa Waziri Mkuu,Mama Tunu Pinda
wakati alipokwenda Tabata magengeni jijini Dar es salaam, nyumbani kwa
marehemu, Hajjat Pili Mlolwa Rehani ambaye ni mama wa Mama Tunu,
aliyefariki Septemba 17, 2015. Kulia ni Mama Hasina Kawawa,watatu kulia
ni Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba na
wanne kulia ni Naibu Waziri wake Pindi Chana.
Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi
akimfariji mke wa Waziri Mkuu,Mama Tunu Pinda wakati alipokwenda Tabata
magengeni jijini Dar es salaam, nyumbani kwa marehemu, Hajjat Pili
Mlolwa Rehani ambaye ni mama wa Mama Tunu, aliyefariki Septemba 17,
2015. Kulia ni Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia
Simba na wanne kulia ni Naibu Waziri wake Pindi Chana.
Makamu wa Rais Mohammed
Bilal akishiki kubeba jeneza lenye mwili wa Hajjat Pili Mlolwa
Rehani,mama yake Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda katika sala
ilitofanyika nyumbani kwa marehemu, Tabata Magengeni jijini Dar es salam
Septemba 17,2015.
Waombolezaji wakibeba jeneza lenye mwili wa Hajjat Pili Mlolwa
Rehani,Mama wa Mke wa Waziri Mkuu, Tunu Pinda katika mazizi
yaliyofanyika kwenye makaburi ya Segerea jijini Dar es slaam Septemba
17, 2015.
Baadhi ya waombolezaji walioshiriki katika mazishi ya Hajjat Pili Mlolwa
Rehani, Mama wa mke wa Waziri Mkuu, Tunu Pinda wakiwa nyumbani kwa
marehemu Tabta Magengeni jijini Dar es salaam Septemba 17, 2015.Kutoka
kulia ni Naibu Waziri wa Fedha, Adam Malima, Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri
Mkuu, Dkt. Florens Turuka , Mpigachapa Mkuu wa Serikali, Cassian
Chibogoyo na Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi.
No comments:
Post a Comment