Maandamano ya askari polisi kuelekea katika maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama |
Maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama mkoa wa Iringa leo |
Askari wa FFU wakiwa katika maadhimisho hayo |
Viongozi wa jeshi la polisi na serikali ya mkoa wa Iringa pamoja na kamati ya usalama barabarani wakipokea maandamano hayo katikati ni mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza |
Mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza akiongoza kupokea maandamano leo |
Mkuu wa mkoa Amina Masenza akipata maelezo katika banda la afya |
Mkuu wa mkoa Amina Masenza na mwenyekiti wa kamati ya usalama barabarani mkoa wa Iringa Salim Asas wakitembelea banda ya askari wa usalama barabarani |
Askari wa usalama barabarani wakionyesha kamera ya kisasa ya kupima spidi |
Mkuu wa mkoa Amina Masenza kulia na Salima Asas katikati na katibu tawala mkoa wa Iringa Ayubu Wamoja wakitazama kifaa cha kupima ulevi kwa madereva |
Bi Masenza na kamati ya ulinzi na usalama mkoa wakitazama gari la zima moto |
Mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza akijiandaa kuzima moto |
Wahitimu wa mafunzo ya boda boda wakipewa vyeti vyao |
Mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza katikati akiwa na viongozi wengine wa mkoa wa Iringa |
No comments:
Post a Comment