Mheshimiwa
Katibu Mkuu, Balozi Liberata Mulamula (kati), Mheshimiwa Balozi wa
Tanzania, Uingereza, Peter Kallaghe (pili kushoto), Mheshimiwa Katibu
Mkuu Ofisi ya Raisi Zanzibar, Bwana Salum Maulid (kushoto), Mwenyekiti
wa Watanzania waishio Birmingham, Prince Katega (pili kulia), dada
Gradys Katega (MC) wakiwa pamoja na Kamati ya Mkutano wa Tanzania
Diaspora Business Convention 2015.
Mheshimiwa
Katibu Mkuu, Balozi Liberata Mulamula (kati), Mheshimiwa Salum Maulid
,Katibu Mkuu Ofisi ya Raisi Zanzibar (kulia) wakiwa kwenye picha ya
pamoja na Balozi wa Tanzania, Uingereza, Mhe. Peter Kallaghe na mama
Joyce Kallaghe, kwenye ufunguzi wa Mkutano wa Watanzania, unaoendelea
hivi sasa Birmingham, Uingereza.
Mheshimiwa
Katibu Mkuu, Balozi Liberata Mulamula akimpongeza Bwana Ayoub Mzee mara
baada ya kufungua rasmi huduma ya Television (Mobile application -
Apps). Bwana Ayoub ni mwakilishi wa AITV Application hapa nchini
Uingereza.
Baadhi ya Watanzania walihudhuria Mkutano wa Watanzania waishio Uingereza, Mkutano wa Tanzania Diaspora Business Convention 2015.
Baadhi
ya Watanzania walihudhuria Mkutano wa Watanzania waishio Uingereza,
Mkutano wa Tanzania Diaspora Business Convention 2015 ambao unaofanyika
katika mji wa Birmingham.
Baadhi
ya Wawakilishi kutoka Makampuni mbalimbali, Watanzania walihudhuria
Mkutano wa Diaspora Business Convention 2015 katika Ukumbi wa Bingley, katika jiji la Birmingham nchini Uingereza.
Wanakwaya
wa Kitanzania, wakiimba Wimbo wa kuisifu Tanzania katika ufunguzi wa
Mkutano huo wa Tanzania Diaspora Business Convention 2015, mkutano ambao
unaendelea sasa katika Ukumbi wa Bingle.
Washiriki wa Mkutano wa Tanzania Diaspora Business Convention 2015 katika Mkutano wa Watanzania waishio Uingereza.
Washiriki wa Mkutano wa Tanzania Diaspora Business Convention 2015 katika Mkutano wa Watanzania waishio Uingereza.
Bwana
Ezekiel, Moderator wa Mkutano, akiongea machache kuwakaribisha Wageni
waalikwa na Watanzania walihudhuria Mkutano wa Watanzania waishio nchini
Uingereza.
Bwana
Alton Ernest Chaula, Mwakilishi kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi, Tanzania, akichangia taarifa kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani,
akielezea Haki za Watanzania na juhudi za Serikali ya Tanzania
inavyojishughulisha kuwasaidia Watanzania kutambua Haki zao kama
Watanzania waishio nje ya Tanzania katika Mkutano wa Tanzania Diaspora
Business Convention 2015.
Mwakilishi
wa Zanzibar Investiment Centre (ZIPA) akielezea machache kwa Watanzania
waishio nchini Uingereza jinsi gani wanavyoweza kufaidika kuwekeza
nyumbani Tanzania kama Watanzania wengine.
Baadhi
ya Watanzania walihudhuria Mkutano wa Diaspora Business Convention 2015
katika Ukumbi wa Bingley Hall, katika jiji la Birmingham nchini
Uingereza

Mama Joyce Kallaghe, akiwa na baadhi ya Wageni Waalikwa katika Mkutano wa Tanzania Diaspora Business Convention 2015.
Baadhi
ya Watanzania walihudhuria Mkutano wa Diaspora Business Convention 2015
katika Ukumbi wa Bingley Hall, katika jiji la Birmingham nchini
Uingereza.
No comments:
Post a Comment