Thursday, August 13, 2015

WATUMISHI WA MANISPAA YA ILALA WAFUNDWA JUU YA MAAMBUKIZI YA VVU,NA UKIMWI

 Mwanasheria wa Manispaa ya Ilala, Pamela Mgarula akizungumza na waandishi habari hawapo pichani juu ya semina ya kuwezesha kutoa elimu ya  kuwakumbusha wafanyakazi kutambua umhimu kujikinga na VVU na Ukimwi iliyofanyika leo katika ukumbi wa Arnatoglo jijini Dar es Salaam.
 Daktari  Kafura Williamu wa Kitengo cha Magonjwa yasiyo ya kuambukiza  Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, akizungumza na waandishi habari  juu ya semina ya kuwezesha kutoa elimu ya  kuwakumbusha wafanyakazi kutambua umhimu kujikinga na VVU na Ukimwi iliyofanyika leo katika ukumbi wa Arnatoglo jijini Dar es Salaam.
Watumishi wa Manispaa ya Ilala wakiwa katika semina ya VVU/UKIMWI iliyofanyika leo Ukumbi wa Arnatoglo jijini Dar es Salaam.
(Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya Jamii)

No comments: