Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifunguaMfereji ikiwa ni ishara ya kuzindua Mradi wa maji safi na Salama wa Jimbo la Kikwajuni leo katikaviwanja vya Mnara wa Mbao Kilimani Wilaya ya Magharibi A Unguja (katikati) Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni Hamad Yusuf Masauni.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimtwisha ndoo ya maji Fathiya Khamis Husein (Suza)baada ya kuzindua Mradi wa maji safi na Salama wa Jimbo la Kikwajuni leo katika viwanja vya Mnara wa Mbao Kilimani Wilaya ya Magharibi A Unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Viongozi wa Kambi ya Jeshi la Wananchi (JWTZ) huko
Bavuai Migombani Mkoa wa Magharibi Unguja leo alipofika kuzindua Mradi
wa maji safi na Salama wa Jimbo la Kikwajuni
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akifungua pazia kuzindua Mradi wa maji safi na Salama wa Jimbo la
Kikwajuni leo katika Kambi ya Jeshi la Wananchi (JWTZ) huko Bavuai
Migombani Mkoa wa Magharibi Unguja,(kutoka kushoto) Nd,Abdalla Suleiman
Mkuu wa Kituo cha maendeleo ya Vijana (Tanzania Youth ICON) na Mbunge
wa Jimbo la Kikwajuni Hmad Yusuf Masauni.
Wafanyakazi
wa Mamlaka ya maji ZAWA wakiwa katika sherehe za uzinduzi wa Mradi wa
maji safi na Salama wa Jimbo la Kikwajuni leo uliofanywa na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi katika Mnara wa Mbao
Kilimani Wilaya ya Magharibi A Unguja
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akipata maelezo wakati alipotembelea mabanda ya maeonesho ya kazi mbali
mbali katika kituo cha Maendeleo ya Vijana Mwembe madema leo akiwa
katika ziara ya kuzindua Mradi wa Maji na Kituo hicho katika Jimbo la
Kikwajuni Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Kituo cha maendeleo ya Vijana (Tanzania Youth ICON) Nd,Abdalla
Suleiman (kulia)wakati alipotembelea kituo hicho Mwembe Madema kuona
maendeleoya kazi mbali mbali zinazofanywa na vijana wa Jimbo la
Kikwajuni sambamba na uzinduzi wa Mradi wa Maji safi na Salama katika
Jimbo hilo leo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Sheinalipokuwa akitoa hutuba yake wakati wa sherehe za uzinduzi wa Mradi
wa Maji safi na Kituo cha maendeleo ya Vijana (Tanzania Youth ICON) huko Mwembe madema Jimbo la Kikwajuni leo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
alipokuwa akitoa hutuba yake wakati wa sherehe za uzinduzi wa Mradi wa
Maji safi Jimbo la Kikwajuni samba mba na Kituo cha maendeleo ya Vijana (Tanzania Youth ICON) huko Mwembe madema leo.
No comments:
Post a Comment