Tuesday, August 18, 2015

SIMU TV: HABARI MBALIMBALI LEO

SIMUtv: Ugonjwa wa kipindupindu walikumba jiji la Dar es salaam wawili wamefariki leo na zaidi ya 20 wamelazwa katika hospitali za Mwanayamala na Sinza. https://youtu.be/z6nx2aH82dE
 SIMUtv: Katibu mkuu kiongozi Ombeni Sefue asema ukosefu wa ajira kwa vijana nchini husababbishwa na mambo mengi ikiwemo ukosefu wa ujuzi kwa ajira zinazohitajika. https://youtu.be/czwDLaAldYg
 SIMUtv: Kamati kuu ya CCM yakutana jijini Dar es salaam kukamilisha kiporo cha utezi wa wagombea wa ubunge katika majimbo 11 yaliyobainika kukabiliwa na dosari mbalimbali. http://youtu.be/n4rrG3-BtmA
 SIMUtv: Katibu tawala wa mkoa wa Kigoma DK John Ndunguru aagiza wataalam wa ngazi zote kusimamia kikamilifu sheria za mazingira na kanuni zake na sio kufanya kazi kwa mazoea. https://youtu.be/OIsZh63CQcc
SIMUtv: Serikali yasema mgogoro wa madini kati ya kampuni ya Tanzania One na wachimbaji wadogo katika machimbo ya Tanzanite Mererani utapatiwa ufumbuzi wa kwa kutumia sheria zilizopo. https://youtu.be/paKqBvEPpbo
SIMUtv: Wakulima washauriwa kutumia mbolea ya maji iliyotengenezwa kwa virutubisho asili vinavyopatikana aridhini na kutokua na athari kwa mazingira.https://youtu.be/ENU3nIqqpek
 SIMUtv: Hali ya upatikanaji ya usafiri wa anga kwa wakazi wa kanda ya ziwa waongezeka baada ya shirika la ndege nchini ATCL kurejesha safari zake kati ya Dar es salaam na Mwanza. https://youtu.be/48n9dzQBHVY
SIMUtv: Serikali kupitia BASATA yafungulia shindano la Miss Tanzania baada ya waandaaji wa shindano hilo kukidhi vigezo vinavyotakiwa kufwata.https://youtu.be/mfn6_gq7fMg
SIMUtv: wachezaji  wanne wa timu ya riadha ya taifa wameondoka nchini kuelekea China kushiriki mashindano ya riadha ya dunia yatakayo anza siku ya jumamosi.https://youtu.be/I5prtErJy5s
SIMUtv: Serikali yasema ujenzi wa uwanja wa Uhuru waendelea vizuri na hivi karibuni unaweza kukamilika na tayari kwa kuanza kutumiwa tena. https://youtu.be/CNDXBSP-LXk
SIMUtv: Mabingwa wa soka nchini Yanga yakamilisha usajili wa beki kisiki wa timu ya taifa Togo Vicent Bousuu kwa mkataba wa miaka 2. https://youtu.be/xUgfvCOzVbs
SIMUtv: Katika hali isiyokuwa ya kawaida Wanacha wa CHADEMA waleta vurugu baada ya baadhi ya wagombea wa udiwani kukatwa kwa tuhuma za rushwa. http://youtu.be/x-S06LH2pWE
SIMUtv: Meli ya MV Serengeti imeshindwa kutia nanga kwa saa 5 katika bandari ya Bukoba kutokana na kuchafuka kwa hali ya hewa. http://youtu.be/KAZg6x0jdhI
SIMUtv: Kwa mara ya kwanza serikali ya Tanzania yazindua mafunzo ya madereva wa mradi wa mabasi yaendayo kwa kasi Jijini Dar es salaam. http://youtu.be/i19oKJWszXg

No comments: