SIMUtv: Katika hali isiyokuwa kawaida nyumba ya Mgombea Ubunge CUF Mtwara vijijini yabomolewa na Watu wasiojulikana . http://youtu.be/KjEhlGl5KtY
SIMUtv: CCM kata ya Mchikichini Dar es salaam chataka makundi yaliyojitokeza wakati wa kura za maoni yavunjwe ili kuimarisha ushindi http://youtu.be/GOi9D8e1dTg
SIMUtv: Chama cha Sheria na Haki chatoa tamko litakalo angalia ukiukwaji wa haki za binadamu kipindi hiki cha Uchaguzi http://youtu.be/gaLvNYPvhLA
SIMUtv: Watanzania waaswa kufuatilia zana za ujenzi ili kuepuka kutumia zana feki zisizo na ubora katika ujenzi http://youtu.be/YFjdBQjDqmw
SIMUtv: Wachinjaji wa nyama Mkoani Mororogoro wagoma kuchinja hadi pale serikali itakapowapatia eneo lingine baada ya kufungwa kwa machijnio ya awali.http://youtu.be/6mWophy0VGw
SIMUtv: Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi yazitaka taasisis za seikali ambazo wafanyakazi wake wamenufaika na Mikopo ya Elimu ya juu kurejesha Mikopo hiyo.http://youtu.be/lFkwPHIe2qs
SIMUtv: CCM kinatarajia kuanza rasmi kampeni zake hapo kesho katika Viwanja vya Jangwani Jijini Dar es salaam @ccm_tanzania http://youtu.be/vRQE8RWGae8
SIMUtv: Imeelezwa Tanzania ni moja ya Nchi chache iliyojaaliwa amani na utulivu katika bara la Afrika na Duniani kote. http://youtu.be/OiprJwl_cnI
SIMUtv: Tanzania imejaaliwa kuwa na amani iliyochwa na baba wa Taifa ambayo inazidi kudumishwa na Wananchi wake http://youtu.be/8Z83xOIerTg
SIMUtv: Wananchi wametakiwa kusikiliza sera za Wagombea kwa makini na kuepuka kufanya vurugu katika kipindi hiki cha uchaguzi http://youtu.be/gj2eW6qTEMU
SIMUtv: Wanachama wa CHADEMA Ludewa wahama chama hicho kwa madai ya kutoridhishwa na mchakatao wa kura za maoni za Wabunge.http://youtu.be/9_5CzMixhk0
SIMUtv: Wanachama wa CHADEMA wavamia ofisi za Mkurugenzi Wilayani Uyui kupinga mgombea wao kuzuiliwa kurudisha fomu za Ubunge.http://youtu.be/X6BzU_zhXZ8
SIMUtv: UKAWA washindwa kukubaliana juu ya mgawanyo wa Jimbo la Sumve Mkoani Mwanza, vyama vyote vyachukua fomu http://youtu.be/ILACjvSaQ8Q
SIMUtv: Wazawa wametakiwa kujijengea utaratibu wa kutembelea vivutio vya utalii ili kukuza na kuendeleza sekta hiyo hapa Nchini http://youtu.be/BgJeuPdfhLY
SIMUtv: Wazawa wametakiwa kujijengea utaratibu wa kutembelea vivutio vya utalii ili kukuza na kuendeleza sekta hiyo hapa Nchini http://youtu.be/BgJeuPdfhLY
SIMUtv: Imeelezwa kuwa ukosefu wa mitaji umekwamisha shughuli za uendeshaji na uzalishaji wa madini ya dhahabu katika Mgodi wa StamiGold Mkoani Kagera.http://youtu.be/HxuuMRd2x8o
SIMUtv: Vyama vine vya UKAWA vyaingiliana katika Jimbo moja la Mtwara mjini hali inayozua taharuki kwa Wanachama wao. http://youtu.be/bNvigXM7ZMQ
SIMUtv: Vyama mbalimbali vimeanza maandalizi ya kuzindua kampeni kuelekea Uchaguzi Mkuu ambapo viwanja kadhaa vimeonekana vikiandaliwa.http://youtu.be/XREAJWLpkDY
No comments:
Post a Comment