Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' kulia akimshambulia kwa makonde mazito Ally Muhuro wakati wa mpambano wao ulifanyika siku ya jumamosi Class alishinda kwa T.K.O ya raund ya tatu Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' kushoto akimtupia konde mpinzani wake Ally Muhuro wakati wa mpambano wao uliofanyika jumamos Class alishinda kwa T.K.O raundi ya tatu Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' kushoto akimtupia konde mpinzani wake Ally Muhuro wakati wa mpambano wao uliofanyika jumamos Class alishinda kwa T.K.O raundi ya tatu Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Bondia Rojas Massamu kushoto akipambana na Subea Chube wakati wa mpambano wao Massamu alishinda kwa K,O ya raundi ya nne Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Bondia Awadhi Faraji kushoto akipambana na Shomari Mirundi wakati wa mpambano wao Mirundi alishinda kwa .K.O ya raundi ya pili Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Bondia Kelvin Majiba kushoto akipambana na Vicent Mbilinyi wakati wa mpambano wao uliofanyika katika viwanja vya shule ya Uhuru kariakoo Dar es salaa Mbilinyi alishinda kwa point Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Vicent Mbilinyi kushoto akimlushia ngumi Kelvin Majiba wakati wa mpambano wao wa raundi sita uliofanyika katika uwanja wa shule ya Uhuru wasichana Kariakoo Dar es salaam Mbilinyi alishinda kwa point mbambano uho Picha naSUPER D BOXING NEWS
No comments:
Post a Comment