Monday, July 20, 2015

WAISLAM WA STOCKHOLM WALIVYO JUMUIKA NA WATANZANIA WENZAO KWENYE SIKU KUU YA EID

 Balozi wa Tanzania nchini Swedeni Mhe. Dora Msechu (wa pili kulia) akiwa na wenyeji wake kwenye sherehe za Eid el Fitr  jana kwenye ukumbi wa Huddinge jijini Stockholm ambako waislamu walijumuika na Watanzania wenzao kusherehekea mwisho wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani mwaka huu kwa kupata chakula cha  pamoja.
 Keki ya Eid na mapochopocho mengine
 Bi Aisha Waziri akikata keki ya Eid
 Wageni waalikwa wakijumuika kwa chakula cha Eid.
 Wageni waalikwa wakijumuika kwa chakula cha Eid.
 Wageni waalikwa wakijumuika kwa chakula cha Eid.
 Viongozi wa hafla hii ustadh Rajab na Kaka Naaman wakitoa zawadi za sikukuu kwa watoto.
 Da Latifa mmojawapo wa viongozi wa ghafla hii akibadilishana maneno na mwenzake.
 Wageni waalikwa wakijumuika kwa chakula cha Eid
Wageni wakijisaidia wenyewe kwa chakula.

No comments: