Monday, July 20, 2015

SIMU TV: HABARI TOKA VITUO VYA TELEVISHENI

SIMUTV:Baada ya mwezi mtukufu wa Ramadhani waumini wa dini ya kiislam watakiwa kuwa mshikamano na kuendeleza yote yaliyo mema. http://youtu.be/nzA7NLtCoTA
 SIMUTV:Baadhi ya wakazi wa jiji la Dar es salaam wawataka viongozi watakao chaguliwa kupitia ubunge na udiwani kuhakikisha wanashirikiana ili kuleta maendeleo. http://youtu.be/IeSE97WFbtc
 SIMUTV:Sintofahamu yaibuka kwa wawania ubunge jimbo la Bukoba mjini kufuatia mkanganyiko wa bei za kuchukulia fomu hizo huku mabishano yakiibuka. http://youtu.be/KNbhBxT5GzU
 SIMUTV:Viongozi wa dini nchini waendelea kukemea viashiria vya uvunjifu wa amani ikiwemo uvamizi wa vituo vya polisi katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu huku wakiitaka serikali kuchukua hatua za makusudi. http://youtu.be/fe27qkK-ot0
 SIMUTV:CCM yafunga rasmi lango la kuchukua na kurudisha fomu za kuwania ubunge na udiwani huku  takribani wagombea 105 wakiwa wamejitokea kugombea ubunge jijini Dar es salaam. http://youtu.be/CbCmEfCzRhQ
 SIMUTV:Serikali ya mkoa wa Manyara yaomba wataalam wa miradi watoe elimu kwa waliopewa pesa ili kuwasiadia kuboresha kipato chao. http://youtu.be/nmL73hcMyxw
 SIMUTV:Kada wa CCM Prof.Muhongo, achukua fomu ya kuwania ubunge kupitia jimbo la Musoma Vijijni huku akihaidi kutumia rasilimali mbalmbali kuondoa umaskini jimboni humo. http://youtu.be/oijKMrJLhzg    
 SIMUTV:China yatoa msaada wa Vifaa mbalimbali vyenye thamani ya bilioni 2.6 kwa wizara ya maliasili na utalii kwa ajili ya kupambana na ujangili nchini. http://youtu.be/SKsltmbgtdY
 SIMUTV:Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Paul Makonda awaasa watoto yatima kuyapa nguvu masomo na sio kusononeka zaidi.http://youtu.be/WndOqNqrmDM
 SIMUTV:waumini wa dini ya wakiislamu waaswa kuungana na serikali ili kupambana na Rushwa, Dawa za kulevya na matukio ya uhalifu ili kuokoa taifa letu. http://youtu.be/H1n1LDqebG8
 SIMUTV:Mwenge wa Uhuru umeanza mbio zake kwa kutembelea miradi nane yenye thamani ya bilioni 1.2 katika wilaya ya sikonge. http://youtu.be/WQaLce1GKaA
 SIMUTV:Mgombea Uraisi kutipitia CCM, Dr.John Magufuli apata mapokezi ya kihistoria Geita huku akihaidi kutumikia bila kujali itikadi ya vyama. http://youtu.be/Q2TK9nODaEI
 SIMUTV:Aliyekuwa Meya wa manispaa ya Ilala Jerry Slaa azunguzia mchakato wa kumpata raisi ndani ya CCM huku akionyesha kukubaliana na mchakato huo huku akiwabeza wanahama chama. http://youtu.be/5IJeRUCwBFo
 SIMUTV:Tume ya uchaguzi nchini Burundi yatangaza kukamilika kwa maandalizi ya uchaguzi wa Rais uliopangwa kufanyika julai 21 mwaka huu. http://youtu.be/C4igSkunIMg
 SIMUTV:Ripoti ya onyesha Idadi ya watu wanao jeruhiwa na vifo wakati wa siku kuu imekuwa ikiongezeka siku hadi siku licha ya juhudi za makusudi zinazochukuliwa na vyombo vya ulinzi. http://youtu.be/0XPixLts76k

No comments: