SIMUtv: Wadau wa kilimo kutoka Kenya na Tanzania wakutana jijini Dar es salaam kufanya tathmini ya bajeti za kilimo za nchi hizo kwa mwaka 2015-2016.
SIMUtv: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadick awaonya wanasiasa kutoshinikiza wananchi kwa namna yoyote ile katika zoezi la uandikishaji BVR. http://youtu.be/XFfN1C_XRT4
SIMUtv; Wadau wa kilimo kutoka Kenya na Tanzania wakutana jijini Dar es salaam kufanya tathmini ya bajeti za kilimo za nchi hizo kwa mwaka 2015-2016. http://youtu.be/gb1RW6SDTGc
SIMUtv: Wadau wa kilimo wa Kenya na Tanzania wakutana Dar es salaam kufanya tathmini ya bajeti za kilimo kwa mwaka 2015-2016. http://youtu.be/gb1RW6SDTGc
SIMUtv: Klabu ya Yanga imeingia makubaliano na ushirikiano na benki ya Posta ili kusaidiana katika ukusanyaji wa mapato kupitia kadi maalumu. http://youtu.be/hrp4GVBr0r0
SIMUtv: Timu ya Prison imemdaka aliyekuwa kocha msaidizi wa Taifa Star Salum Mayanga kuchukua mikoba ya Mbwana Makata aliyetimka Klabuni. http://youtu.be/_e0QjxZBGOg
SIMUtv: Shirikisho la soka Ulimwenguni FIFA limekiri kuandaa kongamano la Kuchagua Raisi mpya February mwakani baada ya Bratt Kutangaza kujitoa. http://youtu.be/pKSU4l7mMK4
SIMUtv: Aliyekuwa Kocha mkuu wa simba Patrick Lewing ameingia mkataba wa miaka miwili kuinoa Stand United Katika Ligi Kuu Tanzania Bara. http://youtu.be/5wVJhkKUNOE
SIMUtv: Tatizo la Sumu Kuvu kwenye zao la Karanga limeendelea kusababisha hasara kubwa kwa Wakulima kutokana na zao hilo kuuzwa bei ya chini. http://youtu.be/HY8woR0Anlo
SIMUtv: Chuo cha Uuguzi Kilichopo mkoani Serengeti Mkoani Mara kimelishukuru kupatiwa ahadi ya vifaa vya uuguzi na wahisani toka nchini Marekani http://youtu.be/3IHDw6BwXS0
SIMUtv: Wananchi Mkoani Dar es Salaam waaswa kujitokeza kwa wingi kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura. http://youtu.be/tD46APGBD3U
SIMUtv: Mwenyekiti wa UDP Mh.Cheyo asema UDP hakitasimamisha mgombea urais na kuwa atamuunga mkono mgombea yoyote atakayeona anafaa kuongoza nchi. http://youtu.be/X5kNOQrR_1A
SIMUtv: SH Mil 364 zatolewa na serikali za Tanzania na Finland kuwawezesha wabunifu wa teknolojia 18 nchini ikiwemo mwanafunzi mmoja kutoka Shule ya Kisutu. http://youtu.be/N7JMsBpJdj0
No comments:
Post a Comment